Weeeeeeee!! tuombe samahani kabisa, manake si kwa kutudhalilisha hukuHahaha wanadumbukiza tu mwenzangu. Huo ufilipino unakuwepo zaidi huku kwenye urafiki sugu, ikifika kwenye ndoa baada ya miaka mmh, anapita tu shaaaa
(haha kui you bring out the worst in me lol)
Why chasing after wrong people jamani? MOVE ON
exactly, ukikaa kuwalilia wanakupanda kichwani, ni goodbye kweli kweli.
Hahaha samahanini baadhi ya wanandoa. Huo ni ushuhuda wa mwanandoa mwenzenu tehWeeeeeeee!! tuombe samahani kabisa, manake si kwa kutudhalilisha huku
Hahaha that's the spiritYap!, ku move on ndo mpango mzima. Kubembelezana mpaka saa ngapi?
Aende tu, najua at miss "a taste of paradise" 🙂
Hahaha that's the spirit
Hahahaaa, she's a superwoman aisee, katungua mpaka tv ukutani, no wonder ukamwita Li, teh!, teh!
Halafu anaonekana yuko faithful hakusahau anything of yours, masufuria, mifuniko na bia ulizoacha, damn!,..she's totally me.
Eti kama to the left ya Beyonce, JF mweh!...lol!
Mmmhh..........ni wapenda mteremko tu hao na kukariri kuwa wanandoa ni lazima walale chiu kabisa kila siku.
Mmmhh..........
Hapajauma sana though
angalau ajipe moyo kuwa aliniacha kumbe sikuwa na jinsi ya kumwambia.
Hahaha to the left, to the left
Everything you own in the box to left
You must not know about me, you must not know about me
I could have another you in a minute, matter of fact he'll be here in a minute
So ulikuwa unaishi kwake au? Pole mwaegi
Hahaha to the left, to the left
Everything you own in the box to left
You must not know about me, you must not know about me
I could have another you in a minute, matter of fact he'll be here in a minute
So ulikuwa unaishi kwake au? Pole mwaegi
Hahaha to the left, to the left
Everything you own in the box to left
You must not know about me, you must not know about me
I could have another you in a minute, matter of fact he'll be here in a minute
So ulikuwa unaishi kwake au? Pole mwaegi
Khaaaaaaaa we sista weweeeehahahaaaa!! au ile mtu umemchoka ila kumwambis unashindwa pa kuanzia, mie naanza tu visa ni kuomba hela tuuu asubuhi mchana jioni, akipiga simu ni hela, akituma msg ni hela, mwisho anachoka mwenyewe anajisepea.
Vizuri kama hukuumia sana, lakini timing yake sie tunaona was perfect.
Cha kushangaza ni kwa nini hamsemagi mapema.
Aibu. Basi njiani nikakuta mtu na dem wake wamekumbatiana wanatembea kwenye mvua wameloa chapa chapa nikasema nisimame niwasogeze kidogo ili niwasimulie yaliyonikuta wakakataa lifti. Wangekuwa watoto ningewashikia fimbo wapande kwa lazima ili niwasimulie machungu yapungue
Khaaaaaaaa we sista weweeee