Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha asipomtumia hela mkwe anaweza kulizwa. Mama mkwe wa mwendokasiatoto mama mzaa chema ona ulivyo mfurahisha mkwe. Wiki hii mbona atashinda ana smile tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha asipomtumia hela mkwe anaweza kulizwa. Mama mkwe wa mwendokasiatoto mama mzaa chema ona ulivyo mfurahisha mkwe. Wiki hii mbona atashinda ana smile tu.
Koh Koh Koh kooooooooohNANDERA weweeeeeeeee, haya ngoja niseme hapana
Sio kujipa moyo bana, hiyo ndo reality hihihiKujipa moyo muhimu ati! 🙂
Au unaandika short story kabsa ya kuuza ujue moja una make money..teh!
Make sweet Lemonade out of lemons.
Hahaha asipomtumia hela mkwe anaweza kulizwa. Mama mkwe wa mwendokasi
Mbona hatujaanza mtindo mbaya jamani looh[emoji85] [emoji85] [emoji85]yaani hii ni dalili kuwa walianza kunjunjuana siku nyingiii walikuwa wanatafutia tu sababu!! baba mwenyewe amechoka mwili, roho na maini.
yaani hii ni dalili kuwa walianza kunjunjuana siku nyingiii walikuwa wanatafutia tu sababu!! baba mwenyewe amechoka mwili, roho na maini.
Atoto ananiumiza
kichwa sana
sijui nimpe zawadi gani
itakayompendeza machoni
mkwe nataka kumtafutiaHahaha asipomtumia hela mkwe anaweza kulizwa. Mama mkwe wa mwendokasi
Hahaha asipomtumia hela mkwe anaweza kulizwa. Mama mkwe wa mwendokasi
Hahaha nakuaminia. Ila jua tu bi mkubwa sio mfilipino mwenzetumkwe nataka kumtafutia
Kitu flani cha tofauti sana
kabla hajaniona kwa mpesa
nataka kujitokeza kwa namna flan amazing
Mbona hatujaanza mtindo mbaya jamani looh[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ujumbe ashaupatamwambie namuangalia tu anavyojisahaulisha.
Kizuri ni kwamba namuelewa sana mkwe wanguKwa ma mkwe huyu, kazi unayo.Jipange upangike. Bibie hana hata doa.
Hahaha...mwambie namuangalia tu anavyojisahaulisha.
Ujumbe ashaupata
Hahahah... kwanza huo ufilipino hataki hata kuusikiaHahaha nakuaminia. Ila jua tu bi mkubwa sio mfilipino mwenzetu
Hahaha...
mzaa chema hutaamini,
nitakapokuja ni mzima mzima
huo ujio mpaka nakosa picha
lazima nimfurahishe..shurti kwa helicopter manaake!
Kama yeye mwendokasi wewe mwendo wa juu juu
Hahaha...
mzaa chema hutaamini,
nitakapokuja ni mzima mzima
huo ujio mpaka nakosa picha