Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Naanzaje kulala sasa, nasoma vya wakubwawe mtoto weeh!! haulali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanzaje kulala sasa, nasoma vya wakubwawe mtoto weeh!! haulali?
Naanzaje kulala sasa, nasoma vya wakubwa
Wee pajama tena, ni tracksuithaya tupia pajama ukalale kabla haujapofuka
Wee pajama tena, ni tracksuit
Mmh wewe unakumbatia nini?haya tupia then kumbatia mto ulale ukue mwanangu.
haya tupia then kumbatia mto ulale ukue mwanangu.
Mmh wewe unakumbatia nini?
Wee pajama tena, ni tracksuit
Mto tena!, mwanao si bado anakumbatia teddy bear na pacifier 😛
kakua huyu huoni hata maswali anayoniuliza, hataki tena tedy bears anataka mito tu.
Khaa basi na mimi nataka mtu nimkumbatie, wewe ? Mbona hukumbatii mito?yaaani we mtoto unataka ujue hadi ninachokumbatia!! namkumbatia baba yako.
Hehehe kichwani nafunga kabisa na kilemba changu, nikiamka ni kuchomoka tu ndrukiiiWewe ka mie, but huwa naongeza na raba, nikiamka ni kuchomoka tu!
...hongera mzaa chema, umekuza haswa!
Mtoto ana tabia nzuri na mabusara juu.
Mahali mabilioni manake!
Hehehe kichwani nafunga kabisa na kilemba changu, nikiamka ni kuchomoka tu ndrukiii
misifa yote yangu hiyooo??...hongera mzaa chema, umekuza haswa!
Mtoto ana tabia nzuri na mabusara juu.
Mahali mabilioni manake!
Khaa basi na mimi nataka mtu nimkumbatie, wewe ? Mbona hukumbatii mito?
yaani huyo muoaji ajipange, asinijie kichwa kichwa kabisa.
misifa yote yangu hiyooo??
ndo maana nakuganda nipate somo la exposure eti, nikifikisha tu 20% mjiandae kwa wedding teh
Acha tu, binti ni binti haswa!, walosema huwezi kumlea wakwapiii!
Mtu akijileta kichwa kichwa unamtoa nduki na mwiko mkononi...🙂
Nataka x-pozha ya USA Baby. Hiyo ya Ludewa si ndo ilinifanya nimkose shemeji ako nshomile wa kisukuma. Sitaki mieeksipozha si unayo ya ludewa na shinyanga mama? au unataka ya wapi tena??