Ladies, what do you wear in bed?

...hongera mzaa chema, umekuza haswa!
Mtoto ana tabia nzuri na mabusara juu.

Mahali mabilioni manake!
misifa yote yangu hiyooo??

ndo maana nakuganda nipate somo la exposure eti, nikifikisha tu 20% mjiandae kwa wedding teh
 
yaani nimelea akaleleka, sitaki utani kabisa, hapo hizo sifuri kila siku zinaongezeka kwenye mahari

Acha tu, binti ni binti haswa!, walosema huwezi kumlea wakwapiii!

Mtu akijileta kichwa kichwa unamtoa nduki na mwiko mkononi...πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…