Nshafika King'asti. Nlikuwa naisoma thread ya dogo hapa ili kumwelewa hoja yake hasa ni kuzungumzia kilichosababisha ndoa ya kaka yake kufa au kuwashutumu wanawake kudai "haki yao halali" ya kutunzwa na waume zao.Kaka shkamoo. Umetoweka siku hizi
Ngoja kijana ajifunze siasa za marriage game asije akaingia kichwa kichwa akachemsha. Muelimishe banaa, sifa ya mwanaume kuchunwa ( na mke na small house pia)
Ngoja odm aje amalizie.
Nshafika King'asti. Nlikuwa naisoma thread ya dogo hapa ili kumwelewa hoja yake hasa ni kuzungumzia kilichosababisha ndoa ya kaka yake kufa au kuwashutumu wanawake kudai "haki yao halali" ya kutunzwa na waume zao.
Hahahaha.... mwambieni Dogo asipate sifa na mbichwa mkubwa wa kuitwa KICHWA CHA NYUMBA bure, lazima uonyeshe ukichwa wako. Adhawaiz achia ukichwa cha nyumba mama akamate usukani uone kama atakuomba hela ya vocha.... ngoja niendelee kumsoma, nimeishia hapo anaposema..................Wanawake wengine wanasaka vidume wenye hela wakati wao wanajimudu sijui ili iweje!Kuna mzee mmoja,mkewe ni mwajiriwa serikalini na yule mzee ni mfanyabiashara,imebidi kutumia ubabe,mkewe akipata mshahara lazima aulete nyumbani
Kuna mzee mmoja,mkewe ni mwajiriwa serikalini na yule mzee ni mfanyabiashara,imebidi kutumia ubabe,mkewe akipata mshahara lazima aulete nyumbani na utanunulia mahitaji ya nyumbani mpaka uishe wote siku hiyo!Namkubali sana huyu mzee.
huyo jamaa aliyeanzisha mfumo wa kusubmit salary yote home itumike mpaka iishe namuunga mkono kwani ni kero sana hasa ukizingatia makeke ya kazi umefanya wewe...na bado matatizo ya kikazi yakitokea huko weye ndio unaemkingia kifua wife...
Hahahaha.... King'asti umenichekesha kwa sauti asee. Unanidai bia tatu kwa Eliza pale. Khaa!!Umeona eeh babu? Muambieni kijana mwanaume hajitambulishi! Kama mkeo anaendesha gari ya 50M usizojua amezitoa wapi na mafuta anatoa wapi, jua imekula kwako! Hujamnunulia hiyo iPhone na hujui anatoa vocha wapi unaweza kupoteza haki ya kuuliza mawasiliano na mahusiano yake!
Tatizo hawa vijana siku hizi wanalalamika manake wanapenda u-slope utasema wanafanya hesabu za ku-integrate! Marioos! Uvunje ndoa kwa sababu mke anadai ununue chumvi?!
mariages, mariages, mariages! ukiamua kuifanya iwe hell itakuwa kweli, na ukiamua kuifanya heaven itakuwa! the two of u are the once playing that game! but this game called mariage will never give us a winner in terms of dictatorship, there IS ONLY ONE WINNER BECAUSE BECAUSE OF RESPECT AND THATS A HUSBAND! Samahanini kama nitawakwaza fellow women coz kila ndoa na misingi,makubaliano na VISIONS zake! kamwe yangu haitakuwa yako, wala yako haitakuwa yangu! naishi kama mimi na simfuatilishi mtu never!
coming to the point ya kipato cha mwanamke! we are doing alot under carpet ambazo wanaume hawafahamu, eg costs ndogondogo kama sabuni, toothbrush, vyombo vitu vya jikoni kwa ujumla SIJUI KAMA MY HUBBY ANJUA VINATOKA WAPI, HUWA ANAONA SIKU ZINAKWENDA, am doing everything kuhusu nyumbani, nguo zangu na watoto na zake ni mimi. na yeye ana majukumu makubwa kunizidi eg skulfees, kujenga, service magari na fuel, etc wababa mnaelewa!
THEN WE HAVE A JOINT ACCOUNT! hiyo account iko kwa ajili ya ndugu zake na ndugu zangu! eg msiba umetokea kwetu tunachota laki 5 za mchango nk, msiba umetokea kwao we do the same, mama mkwe nakuja tunachota hapo, mama mkwe naumwa tunachota hapoi and vice versa! hii account we share kudeposit kila mwezi and we dont touch it kabisa! so hakuna anayeona anaonewa kwa misingi tuliyokubaliana!
I know you know where you will find me. Waiting eagerly.Sijambo babu, kumbe ndio trick yake? Kwamba anataka kutupata kwa style hiyo? dah mwenyewe nimekusi balaa babu. Nitakusaka!!!!
haivalidate uwezo wa kutumia salary alone hasa kama ya mwanaume bado inatumika kwa matumizi ya nyumbani..kimsingi hakuna mwanaume anayejihisi kidume kwa kutegemewa ni foolish game ambayo ladies huwa wana play in their own mindsNa kama ulimkuta na kazi yake?
Na kama akipata matatizo kazini anayashughulikia mwenyewe?
Manake sio wanawake wote wanahitaji msaada wa waume ama wapenzi wao! Actually mie nikimuachia mtu anihudumie I'm doing him a favour ili ajisikie kidume, seriously!