Ladies, why?...!


kuangaika
 
We unaamini anayezungumziwa ni kaka yake? Chezeya Eiyer wewe? Hebu fuatilia thread zake vizuri mkwe..... afu kumbe una sauti tamu kama ya kasuku eh?
Mkwe taratibu......
Huyo anayezungumziwa hata kama siyo kakake basi huyo kaka ana matatizo

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
ODM,sikatai majukumu ya kuwa kichwa cha nyumba,lakini ni nini sababu ya mwanamke kufanya kazi kama haisaidii familia?
 

Ahaaa!!! Kumbe ile X6 ulihongwa eeee??? Embu njoo huku pembeni nikupe kibano chako...utanieleza leo kwa nini kuku hakojoi.
 
Last edited by a moderator:

Eiyer LIKE this mooo! . . . . . . !
 
cacico,ndoa yako angalau naweya ikubali,lakini je unajua kwamba kuna ndoa ambazo mwanamke ana kipato pengine sawa na mumewe lakini majukumu yote ni mume,akiulizwa anakua mkali kama pilipili!
 
Dada yangu king'asti,napata tabu sana kuelewa msimamo wako. . . . . .!
 
Sijambo babu, kumbe ndio trick yake? Kwamba anataka kutupata kwa style hiyo? dah mwenyewe nimekusi balaa babu. Nitakusaka!!!!

Sidhani LD,hiki kibabu kinakudanganya!
 
Reactions: LD
Ahaaa!!! Kumbe ile X6 ulihongwa eeee??? Embu njoo huku pembeni nikupe kibano chako...utanieleza leo kwa nini kuku hakojoi.
kwani mpaka Asprin ajue kuwa huwa nataka mitama kwanza ndio kieleweke hubby??? kha! ukiniambia utanipiga ndio nazidi kukupenda! naja sugar wangu! lolest!
 
Last edited by a moderator:
heheheh ndo ukichwa wa nyumba huo, wewe utakuwaje kichwa cha nyumba halafu uchungulie na wallet yangu,

teh basi tuwe vichwa wawili wa nyumba, hapo tutagawana majukumu

Wewe unayajua majukumu ya kichwa cha familia?
 
Sasa nyie wanaume mnatoa povu kwa mshahara au hela ya mke wako!!!wewe ni jukumu lako kutunza familia kama kuna cha ziada sema usikike tunachangia.Hiyo ndoa ilishakufa siku nyingi hawakujua tu

Hebu angalia akili ya huyu mwanamke!!!!
 
cacico,ndoa yako angalau naweya ikubali,lakini je unajua kwamba kuna ndoa ambazo mwanamke ana kipato pengine sawa na mumewe lakini majukumu yote ni mume,akiulizwa anakua mkali kama pilipili!
hata yangu ilikuwa hivyo lakini HAKUNIACHA! Eiyer ni UPENDO NA SACRIFICE! Alinikalisha tu chini na kuniasa kuwa haya si maisha, nisaidie kidogo majukumu, nikaafiki n here we are! so mwambie mke haachwi sababu tu kakuegemea, anapashwa kumuelekeza tena akiwa sober! ebo!
 
Last edited by a moderator:
nikweli hiyo hua inatokea ila sio kwawanawake wote. wapo nawawake wao ndo baba ndomama katika familia zao nawaume zao wapo tuu hawanampango nafamilia zao. wao wakipata pesa zao wanalewea pombe nawengine wanahonga wavimada. hili swala lipo kwawote.

Binti,hapa nazungumzia wanawake wanaofanya kazi halafu pesa yao haina manufaa kwenye familia,uliyosema ni mada nyingine!
 
kwani mpaka Asprin ajue kuwa huwa nataka mitama kwanza ndio kieleweke hubby??? kha! ukiniambia utanipiga ndio nazidi kukupenda! naja sugar wangu! lolest!

Tena ukija njoo na ile bakora yangu nimeacha pale nje ikauke baada ya kuipaka mafuta ili nikikuchapa uisikilizie utamu wake.
 

Sifa za kijinga,mwanamke mwenye kujitambua hawezi kumsifia mumewe kwa kushindwa kutolea maamuzi familia yake kama huyu!
 

Yes,nakubaliana nawe,huyu alishaambiwa zaidi ya mara 8 haelewi matokeo yake anazusha ugomvi!
 
Last edited by a moderator:
ikoje si kama yako!kumbe imekukera hee!! na wewe kumbe unatolea povu mshahara wa mkeo !shauri zako utalishwa hata wa wenzio

Kama huitambui njia unayopita jaribu kuwauliza wanaoijua nawe utakua salama!
 
cacico nimelike kabla sijasoma hii thead thats fine with me,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…