Ladies, why?...!

Hapo pana tatizo Eiyer.......
Kabla ya kufunga ndoa inabidi watarajiwa wajadiliane kuhusu fedha na mambo mengine ya familia.
Ila usije sema ni wanawake wa sasa.
Yupo mkuu wangu wa kazi mmoja now ni mkuu wa mkoa alinihadithia kisa cha mkewe wa kwanza, walioana mwakawa 3 wakiwa mlimani, si kijana ni over 60 now. waliajiriwa wote. lakini hakuwahi kuona wala kuujua mshahara wa mkewe, mke hakusaidia chochote nyumbani wala kwao na hakujua alipeleka wapi pesa zake anasema yeye hakujali kwasababu alikuwa na uwezo wa kuhudumia familia.

Ishu hapa ni mtu binafsi anavyoona na alivyompenda mumewe na kujua wajibu wake kama mama. They are not wife material.
 
Ndo maana watu tunaobisha hodi kuingia huko ndoani mioyo yetu iko na mashaka sana!
Na sisi tulioko ndani tunatamani kutoka haraka sana, na pindi mlango ukiwa wazi ni kuchomoka haraka sana bila hata kuangalia nyuma.
 
ninakubalian asana na cacico kuwa wanawake tunamatumizi madogo madogo ambayo wanaume hawajui mfano sabuni,mswaki ,vijiko ,sufuria,chupi za watoto,pads yani kuna vikorokocho kibao.

Binafsi mume wangu alikuwa anapenda kujua kila kitu ninachonunua nyumbani ,alifika mahali akanawa mikono yake maana niexpenses ndogondogo zinazogharimu kiasi fulani wanaume huwa hawapendi usumbufu watakubaliana na mimi,mfano mtto wa kike 12----17 anakufuata anasema baba naomba hela ya chupi na pads !!!!!!!!!!!ni jukumu la mama hilo hutapenda sana .
MIMI BINAFSI
Ninakiri nimekuwa msaada mkubwa sana kwa mume wangu japo amenizidi kipato yani mshahara wakeni *5 zaidi ya wangu nimekuwa nikisaidia mambo mengi yanyumbani na hata wakati mwingine hata namwekea gari mafuta ,inafika mahali hata nikamwambia mume wangu sina hela anaelewa ,na hata wakati mwingine nanipa bla kumwomba kwanini usiishi na mtu akajifeel mtumwa wako ndoa nikusaidiana nisafari sio umefika ndugu zangu ,assume leo kesho huyo bwana hayupo je utaweza ibeba familia kweli kama unataka uwe tegemezi ,dunia hii ya leo ukipata mtu akakufungulia biasharra nyanyua mikono juu ,wanawake inabidi tubadilike tusaidiane ndio heshima jamani, KUMBEBESHA MTU MZIGO INASABABISHA WANAUME WENGI WANAKUWA WEZI WE UNAKULA TU SIKU UNAONA KAKAMATWA KAFUNGWA ILA ,UNAJUA MUMEO HANAKAZI YAKUELEWEKA JITAHIDI UBEBE JAHAZI WE UNAKAA UNAPOKEA TUTUTU,
 
Sifa za kijinga,mwanamke mwenye kujitambua hawezi kumsifia mumewe kwa kushindwa kutolea maamuzi familia yake kama huyu!
mkuu decruca hii ni dunia chukua hizo akili zako changanya vizuri wewe ndio wale wanawake mume akimtoka anakunywa sumu kwasabababu hujajipanga kaa ukimtegemea huyo bwana kama unagarantee ya maisha yake funguka akili wewe
 
Last edited by a moderator:
Mmmh, tatizo la kuoana wakati mmoja anajenga Yerusalemu mwingine anajenga Yemen.
 
yaani mpaka na biashara kapewa lakini bado anataka hela kutoka kwa mumewe? mi ndio mana wanawake wa kibongo wamenishinda...bora nikatafute uhindini
 
Ndo maana watu tunaobisha hodi kuingia huko ndoani mioyo yetu iko na mashaka sana!


nakushauri usibishe hodi huko ili kuondoa mashaka yako.Bora uendelee kuwa hivyo hivyo!Uoga wako ndiyo umasikini wako!
 
Kaka yako ovyo. Hajui taratibu za familia. Kiongozi wa familia ni mume, period. Anatakiwa kuitunza familia yake. Kama amempa mtaji hilo ni suala zuri lakini anatakiwa amlishe na kumvisha kama vile yule mwanamke hana kazi. Huo ndio wajibu wa kiume.Huyo kaka yako amharibu familia kwa kujivua uongozi wa familia mpaka ameivunja mwenyewe. Kwetu hata kuku wanajulikana ni wa nani. Kama kuku ni wa mke wageni wa baba wakija lazima baba amuombe mkwewe amkopeshe kuku ili achinjie wageni wake (ingawa deli hilo kwa kawaida huwa halirudishwi). Hilo la baba kuchukua mshahara wa mke ni uonevu wa hali ya juuuu.
 

Maneno mazuri haya, tatizo wengi wanaingia kwenye ndoa huku wanawaza kuachwa matokeo yake badala ya kufikiria namna ya kukuza kipato cha familia wao wanafikiria mbinu za kumficha mwenzake kipato chake. Nadhani watu wote wakiingia kwa mawazo ya kujenga familia mambo yatakuwa safi sio mpaka ndoa ifike miaka 10 watu ndio wanaanza kushirikishana kwenye mambo ya msingi ambapo inakuwa too late!
 

Safi sana nivea ubarikiwe na Mungu wa mbinguni kwa kujitambua
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wengi siku hizi wanaangalia kunenepesha account tu na si kujenga familia.
 
Eiyer nimeisoma hii thread yote post kwa post jamani nafikir kuna nitakao pingana nao sana tu na kuna nitakao kubaliana nao sana tu.

kwanza nianze kwa kusema hivi Eiyer haya ma thread na negativity kwa wanawake yananipa mashaka ambayo binafsi nayaweka kwenye (.......). Ukweli nilipanga nisitoe comment manake najua ningeitoa nikiwa na emotions sana lakni nimejikuta nabadilika kadiri nilivyofika mwisho.

swali la msingi sana ambalo nataka nikuulize na hili naomba unijibu mdogo wangu wa moyoni " hivi hujawah kuona wema wowote katika dunia hii alioufanya mwanamke yeyote?" kama ndiyo mbona hujawah kutuletea tumdiscuss? hili naomba unijibu tu.
 
Last edited by a moderator:

Baby gfsonwin mwache tu dogo apumzike ilo swali siobsaizi yake babe
 
Last edited by a moderator:
kwani tunawafanyia vingapi jamani ebu tupeni sie izo vijisenti khaa
 
Baby gfsonwin mwache tu dogo apumzike ilo swali siobsaizi yake babe

my dearest swtlo nataka nimfunze jambo, wala siyo kwamba liko abavu hizi skopu. mbona kwa umri wake na kwa majibu ambayo tumewah kumpa anaweza kupata majibu ma dear.

today i can tell you who is eiyer and what does he want from what he is posting
 
Eiyer nakuhakikishia ukiendelea na hizi mada za kwuadadavua kina mama/dada utaishia kumpoteza Kaunga

kwani whats happening?:A S confused:

Umeona eeh! Yaani hata nashindwa kuelewa Eiyer anataka nini, maana nishamwambia l am ready to be full time housewife mradi anitimizie mahitaji yangu yote na ya familia yangu. Sasa nikimpunguzia responsibility kwa kutake care of my extended family bado alalama! Khah!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…