Ladies

Ladies

Any interested lady Pm..

Gentleman Pirate
Umri: 28
Dini: muislamu,mkristo
Sifa: mcheshi
Kazi: askari
Elimu: mhandisi
Mkoa: Arusha,Manyara

Mwanamke
Anayejielewa na kujua anachofanya
Umri wowote
Dini yeyote
Kuna mwanamama hapa jirani yangu anauza genge, ana miaka 68 na anataka mchumba.....vipi nikuunganishe naye? Yeye yuko serious kwani anaelekea ukingoni anataka mtu wa kumtomasa tomasa.
 
Blaza tuache na upepo wetu wa kisulisuli

Sa itakuwaje..mbona hiyo 28 kidogo blaza mwambie aongeze miaka saba halafu arudi tena.

Naanzia 35-70
Miaka hata Kobe anayo we acha mbachao kwa msala upitao.. utanikumbuka baadae dada ngoja uzee uanze kukukunja utaanza kuwaulizia hadi marafiki zangu utasikia tu "hivi Yule rafiki yako aliekuwa akivaa vinyeramumo Yuko wapi.."🤣🤣 jibu ntakalokupa bwana wa mabwana ndo ajuae..😂
 
Miaka hata Kobe anayo we acha mbachao kwa msala upitao.. utanikumbuka baadae dada ngoja uzee uanze kukukunja utaanza kuwaulizia hadi marafiki zangu utasikia tu "hivi Yule rafiki yaki aliekuwa akivaa vinyeramumo Yuko wapi.."🤣🤣 jibu ntakalokupa bwana wa mabwana ndo ajuae..😂
😆😆😆😆😆😆blaza bhana eti bwana ndo ajuaye

Mwambie aongezeke bhana
 
Msisahau mrejesho kwangu sawa dada..?
0AB8D189-5DEB-4D9B-B303-C70FCB558E8F.jpeg
 
Back
Top Bottom