Ladies

Ladies

kusutwa suna, matarumbeta kelele
usiogope, hayo ni maneno tu hata kwenye keki yapo na yanaliwa vile vile.

Hapa kweli pa Ladies ! Hapa patakosa vichenipati kweli au sijui mtu kusutwa !
Sidhani.
 
Natafuta mtu wa kutoka nae! Nampa nafasi achague mwenyewe twende wapi.
 
Tafadhali usitaje sijafanya pedicure mieze karibu 6 sasa..... Hafadhali umenisitiri kutotaja makurubasi....lol

Hivi mbona wewe hutaji ovaroli ulilovaa? toka umetoka kazini na uma kenika wako hujavua wala hujanawa mikono na wala mua...

Usijali, nitabandika picha yako kule jf photos ila sitasema kama ni wewe manake sweetie wako kwa mikwenzi huyooo...mmh atanitoboa kichwa aisee!! Hahahah ilo ovaroli langu ndio identity, alafu sie tushazoea kula hivo hivo, na hizi kazi zetu nikisema ninawe nitanawa mara ngapi sasa wakati deal za njiani kibao tu??
 
Yaani nitonye kuwekwa selo tu.....basi ushaona na bahati!! Kuwa makini swaiba.....
Wewe, sitaki kuamini. Kwani husband yuko jela? Sijajua jamani ningempelekea hata chai, kafanyaje tena?
 
Back
Top Bottom