Ladies

Halafu nina wasiwasi Kipipi atakuchongea kwa mama ataanza oh SL katoka na mwanaume halafu kasema atalala hukohuko. Halafu usiwe na wasiwasi akikufukuza niko tayari kushi na wewe au haujamaliza shule

Sasa wewe unaninanga tena wakati mie naweza kuwatunzieni siri?? Shauri yenu....oohh hoooh!!
 
Orait,nawasalimu wandugu,mie ndio nishakamilisha wikiend yangu kwa kumalizika kwj game ya mancity na blackban,so nafumba macho now ndan ya net,byee!
 
nilitaka liwe fundisho kwa kizazi kijacho
si kila king'aacho kimeng'arishwa.

Ukiendelea hivi kuna siku utabebwa msobemsobe. Naomba nikuulize hivi uliweka ya bandia au ni original?
 
Sasa wewe unaninanga tena wakati mie naweza kuwatunzieni siri?? Shauri yenu....oohh hoooh!!

Hapana hapana hapani Kipipi haya wee, wewe tena nitakuletea pipi ya kijiti eh si unaipendaga lakini?
 
Ulipotea jukwaani, alafu nilikutumiaga PM haukujibu, sasa mi ningefanyaje wajameni!! Nikifanikisha nitakutafuta mwaya....

nisamehe mpenzi ingawa sikumbuki kupata pm yako na kuipotezea. Siwezi kufanya hivyo.
 
Orait,nawasalimu wandugu,mie ndio nishakamilisha wikiend yangu kwa kumalizika kwj game ya mancity na blackban,so nafumba macho now ndan ya net,byee!

We mwana we......wapenda game weye sio?? Haya kalale unono, hadi ukojoe kitandani...kwa raha tu!!! Lol
 
yaani watu wazima wanaruhusiwa kukojoa kitandani.
Watoto wanachapwa

sielewagi hapa.

We mwana we......wapenda game weye sio?? Haya kalale unono, hadi ukojoe kitandani...kwa raha tu!!! Lol
 
We mwana we......wapenda game weye sio?? Haya kalale unono, hadi ukojoe kitandani...kwa raha tu!!! Lol

Hahahaha!napenda game sn mpnz,uzuri huwa nakojoa kabla ya kulala ndio maana huwa ckojoi kitandan labda kuwe na tukio la kukojoleshwa lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…