Lady calling habits

Lady calling habits

Prime Dynamics

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2010
Posts
551
Reaction score
249
According to nature a lady is meant to be taken care of by a man. But sometimes it goes beyond control. You load airtime on her phone but she never returns a call unless there is something she wants from you. My ex-girlfriend used to come hold me tight because her request was right around the corner. If she calls “Eh sweetie nime kumiss,” this is how the conversation normally began on phone. Then i could tell the next phase. Normally she was not that kind to return or pay back whatever she borrowed. After getting what she wants anapotea ghafla until next time when she needs help. I had to ignore her calls as a result i lost interest in her.
 
PD naona kam tunapimiana hewa sasa hapa. Again umloose interest? Kisa simu hupigiwi????
 
sa km shda imemuishia akpgie cm ya nini? Km na ww una shida nae ndo uanze kmpgia Helow darling?
 
Kuna wengine tunapigiwa wewe weka hela tu na ukienda check statement utakuta hadi tranfer ya vocha kwenya number yangu pole sana mzee ukipenda kubaliana na hayo
 
sa km shda imemuishia akpgie cm ya nini? Km na ww una shida nae ndo uanze kmpgia Helow darling?

Hata simu ya kwenda for romantic dinner hakuna? kila mara ni shida tuu, tangu nimjue balance sheet haikosi bad debts.
 
SASA MBONA DALILI ZOTE ZA MALARIA kaonyesha ?
ni bora ushamuaga...mijitu ya ivi inaboa yaan inakuwa mijambaz peupe ata haya hawana...inaboa
 
Mbona wa msema vibaya huyo X-wako jamani? Haipendezi, umesha muacha wamsema sema ma nini? Au wataka kumrudia? Wala mi sipendi za hivi, yamepita, yamepita. Kama wataka kumrudia useme!!!
 
Pole Prime,kweli hiyo tabia baadhi ya wanawake wanayo ni mbaya sana....hakuna mtu anapenda kujihisi anatumika vibaya,si sahihi na wala haipendezi mtu kumtumia mtu vocha halafu asiwasiliane na wewe hadi wakati akihitaji tena vocha....wengine hadi wanatumia wanaume wengine vocha anayotumiwa na mpenzi wake.ni tabia mbaya sana na hapa hata mwanaume akimfanyia hivyo mwanamke ataumia.
sijaona kama amemsema,kwani kuna mahali kamtaja jina,anasema tabia zilizomkera na wengine tujifunze.....usisite kutuambia Prime,ili tujue nini kinawakera turekebishe mahusiano yadumu!
 
umesema vema.
 
mis u sisy!!
 
Ok mummy. nitaedelea kuya bandika humu humu.
 
Huyo anakuhitaji wewe ili umtatulie shida zake tu ndiyo maana anafanya mawasiliano anapokuwa na shida, ukimtatulia anakuwa hakuhitaji tena. Hii ni tabia mbaya sana, mapenzi ya kweli hayana tabia hii.
 
SASA MBONA DALILI ZOTE ZA MALARIA kaonyesha ?<br />
ni bora ushamuaga...mijitu ya ivi inaboa yaan inakuwa mijambaz peupe ata haya hawana...inaboa
Ninasumbuliwa au umeamua kunichomesha mahindi hapa kituoni???......lolz
 
Pole Prime,kweli hiyo tabia baadhi ya wanawake wanayo ni mbaya sana....hakuna mtu anapenda kujihisi anatumika vibaya,si sahihi na wala haipendezi mtu kumtumia mtu vocha halafu asiwasiliane na wewe hadi wakati akihitaji tena vocha....wengine hadi wanatumia wanaume wengine vocha anayotumiwa na mpenzi wake.ni tabia mbaya sana na hapa hata mwanaume akimfanyia hivyo mwanamke ataumia.
sijaona kama amemsema,kwani kuna mahali kamtaja jina,anasema tabia zilizomkera na wengine tujifunze.....usisite kutuambia Prime,ili tujue nini kinawakera turekebishe mahusiano yadumu!

Huwa sisiti kumgongea thanks mtu anayesema ukweli. Hii tabia inakera sana. Hatusemi kuwa ni wanawake wote hufanya hivyo! Kuna watu wanatabia mbaya ambao hufanya BF ama GF wao kama mashine za kufyatulia fedha. Kama ni mtu wako angalao akikurecharge basi hata mara mojamoja uwe unapiga simu kumjulia hali. Sio unaomba credit then you dont even call nor say thanks. Credit ikiisha oooooh honey nitumie credit basi! Walio na tabia hii waache sio tabia nzuri!
 
Ok mummy. nitaedelea kuya bandika humu humu.

Utaendelea kuyabandika matatizo/madhaifu ya X wako sio, uliwahi kumuonya na kumfundisha halafu akagoma kuelewa? Hapana kama ulikuwa unampenda lazima ungejitaidi kumuelewesha aelewe maisha yapasayo. Upendo uko wapi sasa? n Ndo kubandika madhaifu yake yote, hata kama humtaji lkn si ni yeye huyo. Dah yani ulikuwa unaona mabaya mengi kuliko mazuri? Dah huyo X wako namhurumia.
 
Back
Top Bottom