Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Wanawake wakifiwa namume wanaishi fresh tena maisha marefu ila akifa mke mume hatoboiSiyo kweli. Wengie sana huendelea na maisha kama kawaida iwapo hawakuwa na matatizo mengine ya kiafya. Ronald Reagan alifariki mwaka 2004 akiwa na miaka 93 lakini aliyekuwa mkewe kwa zaidi ya miaka 52, yaani Nancy Reagan aliendelea na maisha kwa miaka mingine 16 hadi alipofikia umri wa miaka 95.