Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia

Wanawake wakifiwa namume wanaishi fresh tena maisha marefu ila akifa mke mume hatoboi
 
Wanawake wakifiwa namume wanaishi fresh tena maisha marefu ila akifa mke mume hatoboi
Senator John Edwards alifiwa na mkewe mwaka 2010 na mpaka leo bado anadunda na wala hajaoa tena. Kuna factors nyingine kjabisa ambazo zinatokana na wanaume kuwa na life span fupi kulinganisha na wanawake, na vile vile kuwa couples nyingi zina wanaume ambao ni wakubwa kiumri kuliko wake zao, hivyo wakati mwanamke anafariki, unaweza kukuta hata mwanamme naye alikuwa amefikia ukomo wake pia kiasi kuwa angefariki wakati wowote hata kama mkewe asingefariki. Siyo kwamba kifo cha mwanamme kinasababishwa na kufiwa mkewe.
 

Well said
 
Ina maana Ferguson alioa mshangazi?
 
Ndio shida ya kuoa mimama iliyokuzidi umri.
 
Ferguson hayoboi miaka miwili,kufiwa mke uzeeni
Mungu sio mwanadamu..dunia hii unaweza ukafa wewe na bado unayemwona anakufa kesho akatoboa miaka Mingi...kuna watu walisema mtu mmoja atafia ikulu lakini aliyefia ikulu ni mwingine kabisa
 
Exactly watu wanaleta hoja za kipuuzi sana mimi mama yangu alifariki 2009 na mzee akaoa tena 2017 yupo mpaka leo
 
Wanawake wakifiwa namume wanaishi fresh tena maisha marefu ila akifa mke mume hatoboi
Hiyo hoja ni ya kipuuzi kabisa ,kwenye ndoa mara nyingi wanaume hua wakubwa kiumri kuliko wakè zao so usiangalie nani kaanza kufa angalia nani kaishi maisha marefu ,wapo waliofiwa na wake zao kisha wakaoa tena na wanadunda pia wapo wamama walifiwa na waume zao na pia wakafariki ndani ya muda mfupi
 
Wazungu mama anatangulia anamwacha baba, huku kwetu sasa, mama anazika anaolewa anazika anaolewa anazika....pole coach, rip mama.
 
Ukatubu hivi aisee. Mwenye destiny yetu ni Mungu tu. Recall uchaguzi wa 2015.
Nadhani hajawa na maana mbaya kaongelea experience ya kawaida kabisa ya maisha wanaume wengi mke akifariki huwa hatu survive mda mrefu (wengi sio wote)
Hata mi huwa sijui ni kwa Nini
 
R.i.P Classmate...😓
Hakika ulikua msiba mzito Manchester downtown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…