Acha kupanic bana,ile kitu ni barabara ya lami gari likipita haliachi alama,isitoshe mhusika kasema ngoja asome waraka vizuri halafu wewe unaanza kuchimba mkwara,kha!
MD25 komaa mwanawane ukute ladydoctor kachoka ugali maharage kila siku anatamani biriyani.
yaani my sister Lady doctor of all people huyo YAHAYA aka Bishanga ndo umeona ananifaa kumcheat mume wangu
my dear kiwatengu mi nje akunihusu kabisa tupo pamoja
Mkuu Lady doctor mweyewe ndio anakuponda... Anasema unakula tambuu sana na mirungi, pia unadai wewe ni mchovu na wabaridi...
Anajua nampenda na yeye ananipenda pia... Pls tuache tupeane raha usituingilie kwenye mapenz yetu mapya... wewe endelea kula mirungi na kuvuta kitu cha Arusha...
Mkuu.. Mpenzi wangu Lady doctor amechoka Arushaone kwa tabia yake ya ulevi na uvutaji bangi na mirungi... Kuna siku nilikuwa naongea nae Ladydoctor kwenye simu, hadi ikafika moment akaanza kulia, kutokana na tabia ya ulevi na kula mirungi+bangi...
In short Lady doctor tumeshafika mbali sana kwenye maswala yetu ya mapenzi, kwa kweli TUNAPENDANA SANA.... WE ARE IN STRONG RELATIONSHIP.....
yaani my sister Lady doctor of all people huyo YAHAYA aka Bishanga ndo umeona ananifaa kumcheat mume wangu
my dear kiwatengu mi nje akunihusu kabisa tupo pamoja
Peleka ushenzi wako huko huko ushenzini, achana na mke wangu. Ukiona vyaelea vimeundwa man!
Safi kabisa mkuu,huyu Arushaone too much kujishaua,komaa mwanawane ladydoctor ka vipi mjaze na mimba reo reo.Mkuu.. Mpenzi wangu Lady doctor amechoka Arushaone kwa tabia yake ya ulevi na uvutaji bangi na mirungi... Kuna siku nilikuwa naongea nae Ladydoctor kwenye simu, hadi ikafika moment akaanza kulia, kutokana na tabia ya ulevi na kula mirungi+bangi...
In short Lady doctor tumeshafika mbali sana kwenye maswala yetu ya mapenzi, kwa kweli TUNAPENDANA SANA.... WE ARE IN STRONG RELATIONSHIP.....
Una halalisha kubambiwa kwa The secretary?
Safi kabisa mkuu,huyu Arushaone too much kujishaua,komaa mwanawane ladydoctor ka vipi mjaze na mimba reo reo.
.......Au ukute mwenye ID zote ni mmoja! JF kuna mambo mpenzi!