Lady doctor naomba tuwe wapenzi

Hebu ngoja kwanza... Ntarudi baadae, kuisoma hii barua vizuri!

Ndo maana warembo sana mi siwataki
Tizama Arushaone anavopata presha sasa...
Yaani kila mwanaume anamtaka huyu mrembo!
 
Last edited by a moderator:
yatakushinda mtu yeyote anapaswa kupendwa na hasa na mmoja tu hata kama ni bata au kuku wote ni sawa
Ndo maana warembo sana mi siwataki
Tizama Arushaone anavopata presha sasa...
Yaani kila mwanaume anamtaka huyu mrembo!
 

pacha we muache Eli79
azichange tutamchanganya
asijue my love wake kati yetu ni nani
c unakumbuka tulipokua watoto?atakomaje!!

hahahaaa...... Ndiyo hapo sasa atakapo jibeba atajiona anatoka na wewe kumbe yupo na mimi ngoja aje tumtobolee mifuko
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa...... Ndiyo hapo sasa atakapo jibeba atajiona anatoka na wewe kumbe yupo na mimi ngoja aje tumtobolee mifuko

kumbe nyie mapacha mnaofanana? hamna shida, tutakuwa tunatoka wote...mimi, weye na mchuchu wangu...usije ona wivu tu
 
pacha mi sitaki twende wote nataka kila mtu amchune kwa wakati wake, we nenda kaanze nae mi nitakuja kufanya finishing

kumbe hutaki tutoke wote e! basi tufanye kila mtu na zamu yake...afu nnavofurahi kuchunwa na warembo mie!
 
kumbe nyie mapacha mnaofanana? hamna shida, tutakuwa tunatoka wote...mimi, weye na mchuchu wangu...usije ona wivu tu

aaah...... Kwa wewe mbona mshipa wa wivu sinao, maana hata kwa waume zetu ni hivyo hivyo tunawachanganyia habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…