Team mafisi
Senior Member
- Nov 14, 2016
- 138
- 144
Binamu;unamfahamu shilole kiuno?Mbwa wewe, mama ako ndo mzee, mwenzio anazeeka na range Rover, wewe mama ako anazeeka anauza vitumbua. Fyuu
Tv yake ni kama ile ambayo muheshimiwa fulani alitoa zawadinina mashaka na tv yako,rekebisha upande wa rangi,.
Mbwa wewe, mama ako ndo mzee, mwenzio anazeeka na range Rover, wewe mama ako anazeeka anauza vitumbua. Fyuu
Ado ado Bob, punguza hasira, Katoa kilicho nafsini mwake- hata hivyo Kumtusi mtu ni sawa na Ujinga. sasa Kumuita mwenzio mbwa kunatokana na Jide kuzeeka jaman??Mbwa wewe, mama ako ndo mzee, mwenzio anazeeka na range Rover, wewe mama ako anazeeka anauza vitumbua. Fyuu
Kama G alikuwa hawezi kazi ila anamkojoza je huyu anayeiweza kazi sijui atakuwa anamyesha[emoji38] [emoji38]Nadhani mashine anayoikalia sasa ndio sababu, pengine yule wa mawingu kazi alikuwa haimudu.
Treni ya uzee ni moja tuu, na wote tutaipanda maana hakuna namna nyingine.
Treni ya uzee ni moja tuu, na wote tutaipanda maana hakuna namna nyingine.
Mkuu, ya Mungu mengi.Azaege sasa na yy umri unaenda