Hakuna wa kwepa ndugu yanguUzee na kuzeeka nani atakwepa??
Daah!!Mbwa wewe, mama ako ndo mzee, mwenzio anazeeka na range Rover, wewe mama ako anazeeka anauza vitumbua. Fyuu
Sio aina ya cm anae tumianina mashaka na tv yako,rekebisha upande wa rangi,.
Umeanza kwenda Arusha maana sio kawaida yakoMbwa wewe, mama ako ndo mzee, mwenzio anazeeka na range Rover, wewe mama ako anazeeka anauza vitumbua. Fyuu
Cmjui binamu ila nimemuina kwenye mitandao tuBinamu;unamfahamu shilole kiuno?
Utamuelewa tu,Kwa waliongalia mbona kama komandoo kapauka hivi. Yani kumbe makamera na mapoda yanawalinda hawa wasanii, pale ameonekana mweusi balaa, chunusi kwa mbali!!
Alafu wakaweka video ya ndindi-ndiiii ukiangalia video alivyo soft na rangi flani ya kung'aa???alafu walivyorudisha studio ??utadhan aliye ktk video na wa studio ni mtu na mama yake.
Anyway age nayo umeenda, haki yake kukomaa.
Cmjui binamu ila nimemuina kwenye mitandao tu
Basi Lady Jay Dee tusamehe haturudii tena.Mkitaka mama zenu wahusishwe msemwni vibaya jide
mmmmh tuache matusi jamn tusameheaneMbwa wewe, mama ako ndo mzee, mwenzio anazeeka na range Rover, wewe mama ako anazeeka anauza vitumbua. Fyuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Treni ya uzee ni moja tuu, na wote tutaipanda maana hakuna namna nyingine.
Mbwa wewe, mama ako ndo mzee, mwenzio anazeeka na range Rover, wewe mama ako anazeeka anauza vitumbua. Fyuu
Aaaah, lolBasi Lady Jay Dee tusamehe haturudii tena.
Sio Vzr Kumsemea mzaz wa mwenzioMbwa wewe, mama ako ndo mzee, mwenzio anazeeka na range Rover, wewe mama ako anazeeka anauza vitumbua. Fyuu
Na ya kifo piaTreni ya uzee ni moja tuu, na wote tutaipanda maana hakuna namna nyingine.
Hahaha duh boss, hiyo ni hatareeeNa ya kifo pia
Damn! Nikifikiria hivyo tu pumbu zng zote zinanyweaga baadida walah