Lady jay D kwenye Friday night live sijaelewa muonekano wake

Lady jay D kwenye Friday night live sijaelewa muonekano wake

Video nyingi zinachukuliwa baada ya raia kufanya massage na kupaka mapoda kwa sana!, baada ya mda mfupi kupita wanakuwa ni watanzania wenzetu chunusi kama kawaida, blackness kama kawaida, na kukomaa sura kama kawa!!!...ahsante kwa ushirikiano wako!
 
jay d hata iweje ni mpambanaji rudi nyuma namna alivyoanza mpaka sasa hata baadhi ya wabunge hawamfikii wengine humu mna madigiriiii ya ukweli wengine ya chupi lakini kwa huyu dada wamesanda pia mtoto au watoto ni mungu anapanga jitahidini kusoma biblia:kesho tuwahi kanisani ova
 
Kwa waliongalia mbona kama komandoo kapauka hivi. Yani kumbe makamera na mapoda yanawalinda hawa wasanii, pale ameonekana mweusi balaa, chunusi kwa mbali!!

Alafu wakaweka video ya ndindi-ndiiii ukiangalia video alivyo soft na rangi flani ya kung'aa???alafu walivyorudisha studio ??utadhan aliye ktk video na wa studio ni mtu na mama yake.

Anyway age nayo umeenda, haki yake kukomaa.
Utamuelewa tu,
Hata hivyo mko wengi tu msiomuelewa kwa sasa
 
Mbwa wewe, mama ako ndo mzee, mwenzio anazeeka na range Rover, wewe mama ako anazeeka anauza vitumbua. Fyuu

Mkuu warumi hili povu lako limenikosha aisee duh!
Msamehe jamaa tv ake itakua ya ki hunhaa rangi mbayaa
 
ulikuwa unamuona umri wako vile eenh nawe ndio uo njiani hivyo Siku hazigandi
 
Mbwa wewe, mama ako ndo mzee, mwenzio anazeeka na range Rover, wewe mama ako anazeeka anauza vitumbua. Fyuu
Sio Vzr Kumsemea mzaz wa mwenzio

Ni Kheli Ungemtolea maneno Mhusika

Uwez Jua Mama yake yupo Wap Anafanya nin

Mtu Akikukela Usimtusie mama yake [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Back
Top Bottom