Lady Jay D, Prof J kupafomu na P-SQUARE

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Lady Jay D, Prof J kupafomu na P-SQUARE
Yaani zile JOTO HASIRA zikikutana na ALINGO lazima PERSONALLY utasema CHOP MY MONEY hadi YAHAYA apatikane maana tupo KAMILI GADO!!!
Wale wakali wa muziki hapa Bongo toka enzi hizo, mwanadada Lady Jay Dee (ANACONDA) na Professor Jay watapafomu jukwaa moja na P- SQUARE siku ya Novemba 23 pale Leaders Club.

Source
EATV!
 
Redio ya wafu lazima wajinyonge mwaka huu,wabaya wao wanaendelea kushine
 
Yaani nilivoanza kusoma ujumbe nikajua copy n paste maana hiyo ni tweet ya EATV muda mchache uliopita bora umeweka source

Back to topic.....hiyo siku kutakuwa hakukaliki ni bonge la shooo
 
Yaani nilivoanza kusoma ujumbe nikajua copy n paste maana hiyo ni tweet ya EATV muda mchache uliopita bora umeweka source

Back to topic.....hiyo siku kutakuwa hakukaliki ni bonge la shooo

dayamond hatakuwepo?
 
Yaani nilivoanza kusoma ujumbe nikajua copy n paste maana hiyo ni tweet ya EATV muda mchache uliopita bora umeweka source

Back to topic.....hiyo siku kutakuwa hakukaliki ni bonge la shooo

itakuwa bomba sana.psquare ni nomaaaa
 
Kwanza EATV wajitahidi kusiwe na msururu wa wasanii, Wasanii wachache sana na wakali ili kila mtu apate muda wa kutosha! Msururu wa wasanii kama Fiesta unaboa ile mbaya.

Angalizo maalum kwa Lady JD ajiandae vizuri na abadilike jinsi ya kucheza na watu maana watu wamekuwa wakifurahia nyimbo zake na si jinsi anavyotawala jukwaa.Kuna muda JD anakuwa kama hajui afanye nini jukwaani kwakweli kiroho safi ajipange vizuri matukio yake na atawale haswa jukwaa na ikibidi awe na mdada mwenye pumzi za kutosha kumpa back up.

Profesa Jay jitahidi kusimama na DJ mwenye uwezo mkubwa wa kuscratch,kumix nyimbo kwa haraka live(sio recorded mix) na kukupa back up si kupiga makelele kama yule dogo DJ Mafuvu anavyotuumizaga masikio.
 
MTAZAMO pale ni mwendo wa band tuu yaani live music.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…