Lady Jay Dee achaguliwa kuwa balozi wa uzazi wa mpango

kuwa balozi wa jambo fulani hutegemea uelewa wako juu ya jambo husika pamoja na ushawishi ulio nao katika jamii, uelewa wa jambo unaweza patikana kupitia kujifunza darasani au uzoefu kulingana na mazingira yanayokuzunguka, so sioni sababu ya jide kutostahili kuwa balazo hata kama hana watoto wakuwazaa, mbona padri anaweza toa somo la ndoa na mahusiano ikiwa na yeye hana mke?
family planning is simply means birth control and child spacing
birth control- control of number of children in a family
child spacing- interval btn one child and another
some of the common method for family planning:
*the use of condom
*the use of pills
*coitus interruptus
*total abstinance
*calendar method
*cap, etc
then u come to advantage and dis advantage to each method
sasa jaman kipi hapo cha kumshinda mtu asiye na mtoto kutoa elimu? mana hata mimi nimekumbuka nilichofundishwa nikiwa form 3 kweny reproduction na sina mtoto hata wa kusingiziwa lakin naweza kudeliver to the society,
# wake up my fellow Tanzanians #
 
Tatizo lako wewe unadhani kila mtu ana chuki na Jide... mbaya zaidi, kila anayekosoa jambo kuhusu Jide unadhani anamchukia Jide... acha mawazo ya kishamba bhana!!!

Mshamba mwenyewe, tatizo lako kila kitu cha jide unaponda hat vitu havina maana, mi jide namkubal kwa kuwa anajituma na kujuheshima kwa public, hata kama ana ujinga wake hafanyi hadharani, ni mfano wa kuigwa
 
NasDaz

Sasa unataka kuwafanya organization iliyomchagua jide wamekosea? Au hawana akili nzuri au hawajui kama jide hajazaa?, Basi beba mimba wewe ukazae ili upewe huo ubalozi unaoutaka ukawe mfano mzuri kuhusu mambo ya uzazi, kama huwezi kaa kimya
 
Last edited by a moderator:
kelvin complex

NasDaz njoo usome apa kidogo, nadhan form 3 topic ya reproduction hukuilewa au kutofikia level hiyo kabisa, so this intro will help u to understand what a family planning/birth control Issues means

Sidhan kama vitu vingine kama ivi vinahitaj degree kuvielewa kwa kweli, hii inaonyesha jinsi wabongo tulivyo zero brain
 
Last edited by a moderator:
McDonaldJr

Its non of my concern, nenda ukawaambie wahusika mkuu, na uende na ushahidi wa tukio hata moja na muhusikia then tutakuamini
 
Last edited by a moderator:
Ndo vile, jide jana ka sign mkataba wa ubalozi dah anaingizaje mpunga. Kwel jide nuksi
 
Sasa unataka kuwafanya organization iliyomchagua jide wamekosea? Au hawana akili nzuri au hawajui kama jide hajazaa?, Basi beba mimba wewe ukazae ili upewe huo ubalozi unaoutaka ukawe mfano mzuri kuhusu mambo ya uzazi, kama huwezi kaa kimya
Kwa mwanaume anayejitambua kumwambia abebe mimba ni kumtusi kwahiyo jiheshimu usije ukaja kuharibu hali ya hewa!!
 
warumi

Mkuuu una mahaba ya dhati na JD...Mwana Fa aliwahi teuliwa kuwa balozi wa fistula ilileta msuguano sana..najua utauliza why? simply because walengwa hawatafeel kuwa Fa ni mwezao..its about sociology na counseling hapa...sina tatizo na Jd kwa hili but si mtu sahihi pia katika hili..whether is true or not,,ajuaye ni Mungu kama Jd Hazai au OTHERWISE but Watanzania kwa utamaduni wetu tulitegemea ndoa ya Jd iwe imejibu so watu wengi wanaamini kuwa hazai..kuwapelekea mtu huyu akawe balozi kwa hili watu wengi wanaweza wakaamini kuwa Jd hazai kwa sababu ya hizo family planning atakazowafundisha,,na hili likapelekea mjadala au negativity kwenye hicho kitu...Balozi mzuri wa albino ni lazima awe albino hata kama utakata ni ukweli...Nilikwepo kwenye on of outreach ya Florah Mbasha Morogoro wakati naye amepewa dili hili..aliulizwa swali na mwanakijiji wa Kawaida tu kuwa haya unayotufundisha dini yako inaruhusu? alishindwa kujibu coz ulokole hauamini katika hilo...
Jd hana tatizo hapa wenye tatizo ni wale waliompa dili..
 
Jd hana tatizo hapa wenye tatizo

Wewe umeongea kwa hekima kwa kulenga ktk hoja , sio wengine wanaongea kwa kum attack Jide kibinafs kanakwamba ana makosa .
 
mpululu

mpululu una jina la ajabu ila thinking capacity yako is high, nimependa kila neno uliloandika, dah apa sina cha ziada maana umeongea points sana ila

mpaka mtu ukawa balozi wa issue flani ni lazima na wewe uendane na kitu hicho ambacho umeteuliwa kuwa lead wengine, na jide ameteuliwa kuwa balozi wa campaign inayohusu mambo ya afya ya uzazi na mimba ya utotoni, yani atakuwa atakuwa anatoa semina kama sio somo kuhusu mimba za utotoni kwa mabinti wadogo na afya ya uzazi kwa ujumla, na JIDE KUTOKUPATA MTOTO HAKUMAANISHI HAJAWAHI KUPATA MIMBA so bado atakuwa na experience kuhusu mambo ya uzazi, inawezekana alipata mimba akatoa au mtoto akafariki, na nadhan amechaguliwa kwa kuwa ni mwanamke anayejiheshimu na yupo kwenye ndoa anaelewe maumivu ya ndoa bila mtoto, so nadhan ushuhuda wake utawaponya wengi sana

Nadhani kutakuwa na connection kwa namna moja au nyingine na dada yetu jide, pengine alitoa sana mimba wakat yupo mtoto au vitu vingine vinavyohusiana na hivyo na ameona anaweza ku share na mabinti wadogo historia yake au ndugu,jamaa na marafiki ili wajifunze kutoka kwake.
 
Last edited by a moderator:
NasDaz

Lionel Messi ni balozi wa UNICEF kupinga 'utapiamlo (malnutrition)' kwa watoto - Kwani yeye alishawahi kuwa na utapiamlo!?; Oliver Mtukudzi, Ambwene Yesaya ni balozi wa UNICEF wa ulinzi wa watoto dhidi ya ukatili - Kwani yeye alifanyiwa ukatili utotoni!?; David Luiz ni balozi wa UNAIDS dhidi ya HIV/AIDS - Kwani yeye ana 'Ngoma'!? Serena Williams ni balozi wa UNICEF kupromoti afya ya uzazi na kupinga kansa ya matiti - Kwani yeye ameshazaa!? etc...Kuddos Jide, endelea kufanya mazuri hasiyeona amevaa miwani ya mbao tu kwa kuwa hataki kuona!
 
Last edited by a moderator:

NasDaz, mpululu pitieni apa kwa maelezo zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Riwa

asante DK RIWA
NO COMMENTS
I LIKE IT
 
Last edited by a moderator:
warumi

Binamu mipoint hii
yaani umekua na hekma siku hz
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…