Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Hivi unaweza kuwa balozi wa uzazi wa mpango wakati wewe mwenyewe mayai umelia chipsi huna watoto?
aiseeeee watu mna kufuru jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaweza kuwa balozi wa uzazi wa mpango wakati wewe mwenyewe mayai umelia chipsi huna watoto?
aiseeeee watu mna kufuru jamani
aiseeeee watu mna kufuru jamani
Sitaki kuongeza mane no maana Riwa kaonge kila kitu hapa!
Nimeona ni copy na kupaste tuu!
Lionel Messi ni balozi wa UNICEF kupinga 'utapiamlo (malnutrition)' kwa watoto - Kwani yeye alishawahi kuwa na utapiamlo!?; Oliver Mtukudzi, Ambwene Yesaya ni balozi wa UNICEF wa ulinzi wa watoto dhidi ya ukatili - Kwani yeye alifanyiwa ukatili utotoni!?; David Luiz ni balozi wa UNAIDS dhidi ya HIV/AIDS - Kwani yeye ana 'Ngoma'!? Serena Williams ni balozi wa UNICEF kupromoti afya ya uzazi na kupinga kansa ya matiti - Kwani yeye ameshazaa!? etc...Kuddos Jide, endelea kufanya mazuri hasiyeona amevaa miwani ya mbao tu kwa kuwa hataki kuona!