Lady Jay Dee achaguliwa kuwa balozi wa uzazi wa mpango

Lady Jay Dee achaguliwa kuwa balozi wa uzazi wa mpango

Sitaki kuongeza mane no maana Riwa kaonge kila kitu hapa!
Nimeona ni copy na kupaste tuu!


Lionel Messi ni balozi wa UNICEF kupinga 'utapiamlo (malnutrition)' kwa watoto - Kwani yeye alishawahi kuwa na utapiamlo!?; Oliver Mtukudzi, Ambwene Yesaya ni balozi wa UNICEF wa ulinzi wa watoto dhidi ya ukatili - Kwani yeye alifanyiwa ukatili utotoni!?; David Luiz ni balozi wa UNAIDS dhidi ya HIV/AIDS - Kwani yeye ana 'Ngoma'!? Serena Williams ni balozi wa UNICEF kupromoti afya ya uzazi na kupinga kansa ya matiti - Kwani yeye ameshazaa!? etc...Kuddos Jide, endelea kufanya mazuri hasiyeona amevaa miwani ya mbao tu kwa kuwa hataki kuona!


Ya watu mengi , ωαѕι¢нσкє кυσиgєα
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom