Unasubir nn uckue na ww ukafaidMumm... wakubwa wanafaidi jamani.
Kwahiyo kutokupata mtoto ni kosa?Co makosa yake n makosa tu ya kutopata mtt
Mtoto ni majaaliwaSuala la mtoto veepe
Ha haa hili ni kosa jipya mie kulisikiaKwahiyo kutokupata mtoto ni kosa?
Stupid.
Si ndio heshima hiyoHuyu naye asije kuwa mkojozaji kama aliyepita.
Hii ni Edited pictureMsanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar
Ushawahi tuona live ww!Kwani wa kaskazini sio wanawake?
Baadhi yenu wanaume wa JF mnapenda kuponda wanawake wakati nyie hamtazamiki!
Kumbe nawe ni flat screen.[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji102] [emoji102] [emoji102]Ulitaka wawe vipi na wewe?Sio wote wanaopenda mitukunyema,hebu tupumzisheni na miili yetu.
Ishakuwa taabu...
Kaweka mwenyewe kwenye account take ya IG ya juu anashukuru coastal kwa usafiri na ya chini anawashukuru Serena hotel kufanikisha honeymoon yake. Labda kama wewe ndio uchukue hizo picha uzieditHii ni Edited picture
Sasa ameolewa na nani?
Ni utani tu mkuu, usimind.Kwani wa kaskazini sio wanawake?
Baadhi yenu wanaume wa JF mnapenda kuponda wanawake wakati nyie hamtazamiki!