Lady Jay Dee afunga ndoa tena?

Lady Jay Dee afunga ndoa tena?

Co makosa yake n makosa tu ya kutopata mtt
 
Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar

327fecbe743ceabe3afb0136b3bd157c.jpg

2f1f45b7a0fc6ddd4c97543ee292c4b3.jpg
Hii ni Edited picture
 
Ulitaka wawe vipi na wewe?Sio wote wanaopenda mitukunyema,hebu tupumzisheni na miili yetu.
Ishakuwa taabu...
Kumbe nawe ni flat screen.[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Hii ni Edited picture
Kaweka mwenyewe kwenye account take ya IG ya juu anashukuru coastal kwa usafiri na ya chini anawashukuru Serena hotel kufanikisha honeymoon yake. Labda kama wewe ndio uchukue hizo picha uziedit
 
Back
Top Bottom