dareda
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 222
- 494
Ww madeni yake yanakuhusu nn..... Au unataka kumlipia??? Mwanaume kama ww ukiwa huna deni ni uboya wala sio ujanja na possibility ya kufa maskini n 99% Think like a man.....huyo alisha funga ndoa ila sasa anakojozwa tu. ivi alisha lpa mkopo wa benki au aliuziwa dhamana zake?