Lady Jay Dee ajibu hoja ya Wakurya!


Hakuna cha ujasiri wala msimamo ni upuuzi mtupu. Lakini kwa vile wanauana wao kwa wao na hawavuki mipaka kwenda mikoa mingine, na ukiongean na wakurya wao wanasema hayo ni mambo ya kawaida basi tuwaache waendelee na huo ujasiri uajinga ambao wao wana-proud kuwa wanamsimamo
 
Kwa status yako, sikutarajia kitu kama hiki kikukwaze SANA Binti Machozi
 
"Msizaki" hata mimi sijawahi kusikia. Mkoa wa Mara una makabila jamani
 
asante wildcard kwa kunielewesha hilo maana mimi nilikuwa najua ni makabila....na je katika hilo kundi la wakurya kwa mfano, wanaongea lugha moja wote au kila mmoja ana lugha yake lets say waikoma na wangoreme wanasikilizana?
Makundi hayo kama nilivyoyaainisha wanaongea lugha moja bila ya kuhitaji mkalimani. Wanatofautiana matamshi tu. Mila na desturi ni zilezile isipokuwa matambiko tu!
 
hongera Binti Machozi ni haki yako kutoa ufafanuzi huu....ni kweli Mkoa wa Mara una makabila mengi sana na si koo kama wengi wanavyodhani.
 
hongera Binti Machozi ni haki yako kutoa ufafanuzi huu....ni kweli Mkoa wa Mara una makabila mengi sana na si koo kama wengi wanavyodhani.
Zile ni koo bwana. Makabila ni Wakurya, Wajita na Waluo basi.
 
Mimi naona hata huyo mtu aliyemuita Mapanga shaa atakuwa ni rafiki yake, otherwise mtu kama mimi ambaye sina uhusiano wowote na Jay Dee itakuwa ni kituko kumuita jina hilo. Naamini huo ni utani wa kawaida, mimi natoka Mbeya marafiki zangu wengi sana huo watu-identify kama wachuna ngozi, and I feel fine as long as it does not impact me directly.

Grow up Jay Dee
 
Kwenye UNUNUZI WA NDEGE jide alionya wanajamvi msimfatefate kwa sana maana wanajf ni wasomi weledi. Mkuu bwabwa imedadavuaje hii kitu toka kwenye blg yake mpaka waileta hapa?au mpaka ONYO LITOKE KWA SHEEYAAYA? Mwacheni jide wa watu. NATAMANI KUWA MTOTO .kama utu uzima wake anaukana kabila je
 


Mpwa a.k.a manyoyaaaaa!!!!

I dont get ur point hapo na izo mathematics zako?

Logic hapo ni kuwa Ukabila sijambo la kuleta au kumtania mtu au kumkashifu hata kama sio kabila lake we mtu umeibuka huko na kuanza we mtu wa mapanga shaaaa ndio nini na utani nawe au nakujua? jamani tuwe wastaarabu sana na kujitunzia heshima katika mazingira tuliyopo

 

Hata na mimi umenifungua macho kwa hili. Kumbe na JKN alikuwa wa ukoo wa 'Wazanaki' tu, deep down ni Mkurya! Je wenyeji wa huko walio katika makundi hayo, wanaji-refer kama koo au kabila au huu ni mtazamo wa sisi wa nje ya eneo hilo?
 
Naona hapa umemmis quote Jide,yeye hakusema kuwa kabila lao ni bora kuliko wakurya,ila amesema yeye sio mkurya kama watu wanavyojua,lakini angekuwa mkurya,angejivunia pia ukurya wake kwakuwa hilo ndio lingekuwa lakwake,na pia amesema sio kila mkurya ni mkorofi,wapo wengi wenye roho za utu!!
 

Pole sana JD dada yangu.
Lakini napenda nikupe pole ingine, kwani unaonekana ni mtu usiyejua ulikotoka. Naomba chukua time ujue ulikotoka maana majibu yako siyo...

Mkuu Wilcard thnaks mkuu kwa kumuonyesha dada yetu tofauti. Kingine nakushauri punguza hasira. Hasira ni mbaya yaweza kukufanya ufanye yasiyo kuwa sawa. Punguza tempa. Mtu kama yule aliye kuita "mapanga shaa..." ungemuelewesha vizuri angenyamaza na asingeendelea kukusumbua.

Kila la kheli...
 

acha utundu wewe ushakuwa mtu mzima!!!ckutegemea kama unaweza kuibishia na hiyo!safi sana!ila hata hivyo alichosema ni kweli makosa ya watu wachache tusibebeshe kabira zima unajua kumwita mtu mapanga shaaaah!any way may be ulikuwa ni utani tu wa makabira!ila JDE kamind!pole sana dada!
 
yule ni mkurya wala asikane, tunaomjua huyu jd ni mkurya

msizaki?!!! hakuna ni mkurya
 
Jide,

Niombe radhi kwa hii paragraph:

Ni sawa na imani ya kuwa wahaya wote wanapenda ngono, wakati tukiangalia picha halisi nani asieshiriki hilo tendo. Au kwakuwa hatuwaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…