Binti umenena. kwani hakuna mtu aliyechagua wazazi wa kumzaa wala kabila wote wamejikuta katika ukoo/kabila fulani. Hivyo kujumuisha ki-ujumla siyo sahihi.
Binafsi ninawafahamu wakurya wengi ambao sio tu kuwa hawana tabia ya ugomvi bali ni wastaarabu kuliko makabila mengine.
[/QUOTE]
Hao unaowafahamu watakuwa hawajakulia kulee.............. Hebu fanya ukutane na mmoja huko huko Mara na awe hajawahi kutoka nje ya huko........UTAONA MAMBO YAKE............. hawa wengine tumeshawapolyuti na matabia yetu mazuri