Lady Jay Dee akerwa kuzushiwa kutundikwa mimba

maneno ya walimwengu yanakera sana tena sana, lakini based on her status anapaswa kujifunza kuzuia jazba jamani, kwa mtu mwenye jina kubwa kama yeye kuongea maneno ya shombo vile sio, na akili zetu twazijua tena ndio kwanza watu watazidi kumkera si watu wameshajua location ya adrenaline yake, wataendelea kuipiga starter kila mara itamwagika tuu, mwishowe ajipatie cancer ya ini bureee, atulie.
 
.....
Wewe ndio ulikuwa dr wake???

garder alikuwa anapanda mbegu juu ya mwamba,kajipinda,kampinda,kamwaga mpaka basi,huyu dada ni tasa au alitoa mimba sana mpaka dokta akachoka kuletewa ishu hizo akaamua kulitoa likizazi looote
 
garder alikuwa anapanda mbegu juu ya mwamba,kajipinda,kampinda,kamwaga mpaka basi,huyu dada ni tasa au alitoa mimba sana mpaka dokta akachoka kuletewa ishu hizo akaamua kulitoa likizazi looote
Kabla hujafa hujaumbika. ..uctukane mamba kabla hujavuka mto.
 
Mimba sio mchicha, kila bonde unaota
 
Watu wamezidi kumkalia kooni....acha tu awajibu hovyo.Kwani yeye ndo wa kwanza kutozaa?
 
Sasa ikiwa maneno ya Instagram ndo yanamfanya awe na lugha kali kiasi hicho, sa' angekumbana na anayokumbana nayo Zari si angemwaga matusi ya nguoni kabisa kama sio kuzunguka mtaa kwa mtaa kutafuta wabaya wake!!
 
Sipati picha..pasinge tosha kwanza angesha wafungulia case watu wengi.....
 
Ni kweli baadhi ya watu wapuuzi sana. Wanaacha au wanashindwa kufanya ya kwao, kucha kutwa kumfuatilia binti wa watu.
Mwacheni na maisha yake.

..... binti wa watu....!
 
Bahati yake the Commedy Original hawapo kwenye fomu siku hizi maana wangemuigiza.... na ndio angechukia zaidi na zaidi maana badala ya kuwa msanii mwenye heshima angekuwa Msanii wa Vichekesho kwa kila atakayemuona...

Sio Siri tokea nilipotizama the Commedy ya kina Joti nikiwa nawaona wakina Mwisho Mwampamba na kuuza matikiti yake ,Mr.Nice na kibajaji kilichoisha mafuta, Komba na Masharubu yake huwa napata picha ya kuchekesha tu na sio umaarufu wao wa kuimba au kuigiza

Ndio Jide anapoelekea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…