Lady Jay Dee akerwa kuzushiwa kutundikwa mimba

Nani amuue tatizo akili zake ni finyu na hajijui kama yeye ni Msanii ambaye ni Kioo cha Jamii maneno machafu yatamcost sana... Anamuiga Yule Mcheza Basket ball wa Tanzania Hasheem Thabeet alikuwa na maneno machafu na sijui kama kuna ambaye atakuja kumfikia.... Yaani akidai yeye kuwa Juu ni yeye mwenyewe na hakuna msaada wa Mtu mwishowe watu wakamchoka haswa wale waliomsaidia na sasa ukimzungumzia ni sawa na vichekesho.. ila Maisha yanaenda... Judith anachotakiwa kukitunza ni Heshima maana huwa haiuzwi hivyo atainunua akiipoteza ndio imeenda hiyo.... si sawa na Pesa akipoteza atapata nyingine la hasha....

maneno ya walimwengu yanakera sana tena sana, lakini based on her status anapaswa kujifunza kuzuia jazba jamani, kwa mtu mwenye jina kubwa kama yeye kuongea maneno ya shombo vile sio, na akili zetu twazijua tena ndio kwanza watu watazidi kumkera si watu wameshajua location ya adrenaline yake, wataendelea kuipiga starter kila mara itamwagika tuu, mwishowe ajipatie cancer ya ini bureee, atulie.
 
.....
Wewe ndio ulikuwa dr wake???

garder alikuwa anapanda mbegu juu ya mwamba,kajipinda,kampinda,kamwaga mpaka basi,huyu dada ni tasa au alitoa mimba sana mpaka dokta akachoka kuletewa ishu hizo akaamua kulitoa likizazi looote
 
Kabla hujafa hujaumbika. ..uctukane mamba kabla hujavuka mto.
 
Mimba sio mchicha, kila bonde unaota
 
Nani amuue tatizo akili zake ni finyu na hajijui kama yeye ni Msanii ambaye ni Kioo cha Jamii maneno machafu yatamcost sana... Anamuiga Yule Mcheza Basket ball wa Tanzania Hasheem Thabeet alikuwa na maneno machafu na sijui kama kuna ambaye atakuja kumfikia.... Yaani akidai yeye kuwa Juu ni yeye mwenyewe na hakuna msaada wa Mtu mwishowe watu wakamchoka haswa wale waliomsaidia na sasa ukimzungumzia ni sawa na vichekesho.. ila Maisha yanaenda... Judith anachotakiwa kukitunza ni Heshima maana huwa haiuzwi hivyo atainunua akiipoteza ndio imeenda hiyo.... si sawa na Pesa akipoteza atapata nyingine la hasha....

Watu wamezidi kumkalia kooni....acha tu awajibu hovyo.Kwani yeye ndo wa kwanza kutozaa?
 
Sasa ikiwa maneno ya Instagram ndo yanamfanya awe na lugha kali kiasi hicho, sa' angekumbana na anayokumbana nayo Zari si angemwaga matusi ya nguoni kabisa kama sio kuzunguka mtaa kwa mtaa kutafuta wabaya wake!!
 
Sipati picha..pasinge tosha kwanza angesha wafungulia case watu wengi.....
 
Ni kweli baadhi ya watu wapuuzi sana. Wanaacha au wanashindwa kufanya ya kwao, kucha kutwa kumfuatilia binti wa watu.
Mwacheni na maisha yake.

..... binti wa watu....!
 
maneno ya walimwengu yanakera sana tena sana, lakini based on her status anapaswa kujifunza kuzuia jazba jamani, kwa mtu mwenye jina kubwa kama yeye kuongea maneno ya shombo vile sio, na akili zetu twazijua tena ndio kwanza watu watazidi kumkera si watu wameshajua location ya adrenaline yake, wataendelea kuipiga starter kila mara itamwagika tuu, mwishowe ajipatie cancer ya ini bureee, atulie.

Bahati yake the Commedy Original hawapo kwenye fomu siku hizi maana wangemuigiza.... na ndio angechukia zaidi na zaidi maana badala ya kuwa msanii mwenye heshima angekuwa Msanii wa Vichekesho kwa kila atakayemuona...

Sio Siri tokea nilipotizama the Commedy ya kina Joti nikiwa nawaona wakina Mwisho Mwampamba na kuuza matikiti yake ,Mr.Nice na kibajaji kilichoisha mafuta, Komba na Masharubu yake huwa napata picha ya kuchekesha tu na sio umaarufu wao wa kuimba au kuigiza

Ndio Jide anapoelekea...
 
Back
Top Bottom