Lady Jay Dee ameachwa na Mnigeria?

Lady Jay Dee ameachwa na Mnigeria?

Makubwa haya anakonda nae sikuizi anatafuta kiki kweli madogo mme wabana wakubwa zenu koo
 
Mapovu yanayotolewa na wanaume yanathibitisha walivyo na msongo wa mawazo
 
hata mimi natamani siku moja nije nimkojoze kama alivyokuwa anamfanya gadna, nikimtumia namtupa kule kama bablish.
 
Ana album "The woman" inatoka tarehe 31 mwezi huu,io ni kiki tu nadhani ya wimbo anaotanguliza b4 the album release.
 
SHIDA UZAZI... kachomoa sana sasa imebuma.. hii niliiwaza kabla na baada ya kupata msanii mpya.
nikajiuliza huyu dogo je atavumilia kama jamaa aliyepitaaa? THE NDINDINDI😵
Kwanin mnapenda kuamin kwamb kila asiyezaa kachomoa sana wengine ndo wapohivy tu bila hata kuchomoa
 
Kwanin mnapenda kuamin kwamb kila asiyezaa kachomoa sana wengine ndo wapohivy tu bila hata kuchomoa
nilikuwa nataka nikujibu lkn nikasita...
nikachungulia Kuona umezaliwa lini humu JF. nimeshaona
BAS BORA NIKUACHE TU
 
Back
Top Bottom