afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
Hiyo real life ndio ipi au kitu ganiMaisha ya ukweli yanaanzia mwanadamu akitimiza miaka 40....The real life begin at 40
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo real life ndio ipi au kitu ganiMaisha ya ukweli yanaanzia mwanadamu akitimiza miaka 40....The real life begin at 40
MmhUkikaa sana huku umbea unaweza kukukolea
Naona ulevi wake ni mtamu sana
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Kama sio kiki..Basi arudi kwa Mzee Mtaalam wa Kukojoza
New album lounge inaitwa WOMAN march 31
Jaman nimecheka Sana mbwahaaaa haaaaaasawa Jokate
Halafu wote wanaume WA DarYaani wanaume Leo mmepata pa kuhemea!
Wanataka masixx pack,wanaujua kuvaaa n.k!!! Boss wa facebook ana jeans na tishet rangi moja tu! .duniani kote wenye hela muda wa kwenda Gym .ni tatizo.Six packz 80% ni mariooo! Usikute JD ata account zake zina hela ya kufungulia acc.Sharo zote kalamba! Six pack ndo tatizo la hawa maselebriti kuwa mirupohivi wanawake huwa mnajisikiaje mnavyotafunwa kama bigijiii na wanakutema huko. wakati ule unatafunwa unaringaaa kama vile unajiona malaika, kumbe jamaa anakuona kikongwe atafune mbunye yako alafu akutapike ukaendelee kuzunguruka kama nung'ayembe. huyu dada nimemdharau kuliko chochote. ktk maisha yangu huyu yupo fungu moja na wema na kiria.
[emoji23] [emoji23]Watanzania msipende kuchomekea lugha za wenzenu, si bora ungeaandika Kiswahili tu ueleweke? Jamani mnaboa sana, usikute wewe ni muhitimu wa University ya Dar ila lugha ni gongana mpaka sasa. Si "Album Lounge ni Album Launch."
Hauna dada wewe?hivi wanawake huwa mnajisikiaje mnavyotafunwa kama bigijiii na wanakutema huko. wakati ule unatafunwa unaringaaa kama vile unajiona malaika, kumbe jamaa anakuona kikongwe atafune mbunye yako alafu akutapike ukaendelee kuzunguruka kama nung'ayembe. huyu dada nimemdharau kuliko chochote. ktk maisha yangu huyu yupo fungu moja na wema na kiria.
Utajiju na ubonge bonge wako hukoWanataka masixx pack,wanaujua kuvaaa n.k!!! Boss wa facebook ana jeans na tishet rangi moja tu! .duniani kote wenye hela muda wa kwenda Gym .ni tatizo.Six packz 80% ni mariooo! Usikute JD ata account zake zina hela ya kufungulia acc.Sharo zote kalamba! Six pack ndo tatizo la hawa maselebriti kuwa mirupo
wewe ndio jide nini? hiyo mbunye unampa kila mtu anaichokonoa na kukutupa kwenye kapu hauoni kama unajiaibisha unaonekana malaya? umekomaa kibibi kizee halafu bado unajiona mtoto.Hauna dada wewe?
[emoji15]wewe ndio jide nini? hiyo mbunye unampa kila mtu anaichokonoa na kukutupa kwenye kapu hauoni kama unajiaibisha unaonekana malaya? umekomaa kibibi kizee halafu bado unajiona mtoto.
Utajiju na ubonge bonge wako huko
Safi Sana umetumia akili ya uanaume kumjibu, maneno matatu Tu katulia, haaaa haaaa, good[emoji15]
Mbona povu mkuu
Ahsante mkuu[emoji120]Safi Sana umetumia akili ya uanaume kumjibu, maneno matatu Tu katulia, haaaa haaaa, good