Lady Jay Dee amepata Ujauzito?

Lady Jay Dee amepata Ujauzito?

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
Mungu Mkubwa am great fan of this singer kama hajaweka Matabara she is real expecting Natamani apate mtoto and my little Girl is called Judith kwa sababu Mimi ni fan wake mno!

Wasomi wa Psychology na body Language JD katika post yake Instagram hajaweka wazi ila kuna Kipindi alikua anafanya Mazoezi na Tumbo lake likawa Slim. Lakini Hivi Majuzi ame post picha yake ambaye inaonesha ana tumbo ambalo labda linaweza kuwa ni Mimba ambayo bado Changa.

Ukitazama Maneno ya kwenye Post akamalizia kwa Kusema Maneno haya hayausiani na Picha. Sisi wataalamu wa Lugha za siri Unaweza Kusema Dada alikua anasisitiza Jiangalie Pica tena kawa Umakini.

IMG_20170613_162212_802.jpg
IMG_20170613_162132_140.JPG



Picha yake ya January 16
IMG_20170613_164014_903.JPG
 
KAMA NI KWELI HONGERA ZAKE MANAKE DAAH NA UZEE ULE
 
Nampa miezi mitatu ntarudi hapa kuangalia kama tumbo limekua. 😵 Kungojea mimba hakujawahi iacha ndoa salama.
Ha!ha! Sasa hivi nimeona Picha zake hapig in Full ngoja tusubiri Miezi 9 siyo mingi
 
Mie simpendi kwa vile we kada wa Lumumba unampenda Troll JF ila ndo utajua kati ya yeye na G habash nani kimeo. Kibuti cha kashfa hakijawai muacha mtu salama
 
Dah!kweli shilawadu imesababisha wanaume tuwe wambeya [emoji23][emoji23]
Mbona ni Kitu ambacho Kinaonekana mkuu hata hiyo shilwadu Mimi Huwa sizifuatilii Nyumbani kwangu kuna Desktop ya Mancntosh na WiFi ya Smile Sina TV mimi
 
Back
Top Bottom