Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetisha sana Troll JF .....Mbona ni Kitu ambacho Kinaonekana mkuu hata hiyo shilwadu Mimi Huwa sizifuatilii Nyumbani kwangu kuna Desktop ya Mancntosh na WiFi ya Smile Sina TV mimi
Instaforum mkuuWolper anamsaga
Yeah story kamili iko kwa mangeWolper anamsaga
Uko serious mkuu?Mimba ya mke wa Bashite iliyopatikana kwa bao la mkono imekuwa si rizki imechoropoka.
Kama ni kweli itakuwa sugu amebakia mis Tanzania miaka ya nyuma.Mungu Mkubwa am great fan of this singer kama hajaweka Matabara she is real expecting Natamani apate mtoto and my little Girl is called Judith kwa sababu Mimi ni fan wake mno!
Wasomi wa Psychology na body Language JD katika post yake Instagram hajaweka wazi ila kuna Kipindi alikua anafanya Mazoezi na Tumbo lake likawa Slim. Lakini Hivi Majuzi ame post picha yake ambaye inaonesha ana tumbo ambalo labda linaweza kuwa ni Mimba ambayo bado Changa.
Ukitazama Maneno ya kwenye Post akamalizia kwa Kusema Maneno haya hayausiani na Picha. Sisi wataalamu wa Lugha za siri Unaweza Kusema Dada alikua anasisitiza Jiangalie Pica tena kawa Umakini.
View attachment 523353 View attachment 523354
Picha yake ya January 16
View attachment 523358
Ww acha tu nikuomba Mungu tumambo ya maisha bwanah yaani unakila kitu ila mtoto huna..mwinne hana kitu watoto anazaa wa4 kwa mpigo yaani Mungu ana kazi sanah
Millen in preg incase you didn't knowYani Judith Wambura na Millen Magese siku wakipata mtoto nitafurahi pamoja nao, Mwenyez Mungu awajaalie hiyo baraka