Lady Jay Dee amepata Ujauzito?

Lady Jay Dee amepata Ujauzito?

kama imeshika basi amekojozwa wakojozaji hawajitangazi utaona tu kwa vitendo
 
wanawake wengi siku hizi wanavitambi, hakuna kijusi hapo
 
Mungu Mkubwa am great fan of this singer kama hajaweka Matabara she is real expecting Natamani apate mtoto and my little Girl is called Judith kwa sababu Mimi ni fan wake mno!

Wasomi wa Psychology na body Language JD katika post yake Instagram hajaweka wazi ila kuna Kipindi alikua anafanya Mazoezi na Tumbo lake likawa Slim. Lakini Hivi Majuzi ame post picha yake ambaye inaonesha ana tumbo ambalo labda linaweza kuwa ni Mimba ambayo bado Changa.

Ukitazama Maneno ya kwenye Post akamalizia kwa Kusema Maneno haya hayausiani na Picha. Sisi wataalamu wa Lugha za siri Unaweza Kusema Dada alikua anasisitiza Jiangalie Pica tena kawa Umakini.

View attachment 523353 View attachment 523354


Picha yake ya January 16
View attachment 523358
Kama ni kweli itakuwa sugu amebakia mis Tanzania miaka ya nyuma.
 
kanenepa bana...hana stress now...sidhan kama n mimba ingawa namuombea ingekua....
 
Back
Top Bottom