Lady Jay Dee asalimu amri kwa Clouds, aruhusu nyimbo zake zipigwe rasmi

leo nimesikiliza amplifaya tayari uongozi wa lady jd umeruhusu nymbo zake kupigwa clouds baada ya boss ruge kusema

Mkuu mbona habari fupi kama muhutasali wa habari..........

Funguka mkuu............

[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Daaah nimecheka sana, jf mna vituko sana aisee
 
Nimesikitika sana, pia nimefurahi dada jide atapata amani ya moyo maana visasi havijengi
 
nashangilia tu, na kumbeza Jide, ila mnasahau wiki iliyopita Ruge ndiye aliyeanzisha kutaka mapatano wakati akihojiwa na kituo chake. Kama Ruge aliona haya yanahitajika kufika mwisho, kwa nini kwa Jide ionekane kwetuu kama amelamba tapishi lake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…