Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo nimesikiliza amplifaya tayari uongozi wa lady jd umeruhusu nymbo zake kupigwa clouds baada ya boss ruge kusema
Na vile mtalaka hatongozwi naona mkojozo unakuja kwa mara nyingine tena..Hakuna mkate mgumu mbele ya chai .na mwanamke atabaki kuwa mwanamke ....na mwanaumee atabaki kuwa mwanaumee.......gadna yuleee anakujaa kujiliaa tena mtalaka wakeee kwa Mara nyinginee..big jayde
Jamaaa mchokozi wewKwa hiyo ndi ndi ndi itapigwa kwenye kipindi cha jahazi???
Bado ruby na rama dMjini pamekuwa pagumu kweli kweli.!
Dada machozi kaona anarudishe tu majeshi.
Itaachaje kupigwa mkuu kwa mkojozaji wakeKwa hiyo ndi ndi ndi itapigwa kwenye kipindi cha jahazi???