patrickcharles
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 534
- 285
Hakuna tatizo hapo maana alisema Chawa na sio watu. So wafanyakazi/Clouds family haliwahusi.nakumbuka alisema akifariki hataki chawa yoyote kutoka clouds ahudhurie mazishi yake.... angefuta na hiyo kauli
nashangilia tu, na kumbeza Jide, ila mnasahau wiki iliyopita Ruge ndiye aliyeanzisha kutaka mapatano wakati akihojiwa na kituo chake. Kama Ruge aliona haya yanahitajika kufika mwisho, kwa nini kwa Jide ionekane kwetuu kama amelamba tapishi lake?
Joto hasira vipiKwa hiyo ndi ndi ndi itapigwa kwenye kipindi cha jahazi???
Amesalimu amri ama ameridhia kauli/ombi la Ruge?...Kwamba wako tayari kuchezaa nyimbo zake akiwaruhusu?...
Hongereni kwa kumaliza tofauti zenu.
Mpwa nawe huna dogo? Au haujui raha ya kukojozwa?nakumbuka alisema akifariki hataki chawa yoyote kutoka clouds ahudhurie mazishi yake.... angefuta na hiyo kauli
Chawa ndio hao wafanyakazi wa cloudsHakuna tatizo hapo maana alisema Chawa na sio watu. So wafanyakazi/Clouds family haliwahusi.
Ruby atachukuliwa wcb halafu management inaondoa tofauti na cloudsSasa kale katoto ruby vipi?
If u can't fight them join them.hongera binti Machozi [emoji123]
View attachment 441506
Chawa ndio hao wafanyakazi wa clouds
ulisoma ukaelewa nilichoandikakwani ameshakufa