Mkuu mbona habari fupi kama muhutasali wa habari..........
Funguka mkuu............
[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
[emoji23][emoji23]Na vile mtalaka hatongozwi naona mkojozo unakuja kwa mara nyingine tena..
We jamaa ni mnazi wa clouds nn luge ndo amefunguka na kusema yaishe sio jide
Hongereni kwa kumaliza tofauti zenu.
Hahahaaaaa, halafu wewe jamaa ni mwanafalsafa!!!kwani ameshakufa
Jide ndio mtoto wa clouds,Cluods ni watoto wa Jide komando wamuheshimu mzazi wao hao....
Njaa haina baunsa
C'mon Patric unaleta ushahidi gazeti la udaku la Shigongo?Hii pia itakuwa udaku sio? [emoji116] [emoji116]
View attachment 441509
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai .na mwanamke atabaki kuwa mwanamke ....na mwanaumee atabaki kuwa mwanaumee.......gadna yuleee anakujaa kujiliaa tena mtalaka wakeee kwa Mara nyinginee..big jayde