Lady Jay Dee asalimu amri kwa Clouds, aruhusu nyimbo zake zipigwe rasmi

Lady Jay Dee asalimu amri kwa Clouds, aruhusu nyimbo zake zipigwe rasmi

0335308615ded4405f94ffdbaa38f167.jpg


Hongereni kwa kumaliza tofauti zenu.
We jamaa ni mnazi wa clouds nn luge ndo amefunguka na kusema yaishe sio jide

Iyo management ya jide imekubali tu yaishe sio kesi sasa nani ameomba pooh clouds wameangalia mbali sana E tv iko kwenye majaribio wengi wangeota pembe na kudharau clouds
 
Kwani mziki bila clouds media hauendi mbele nchi hii?? Jamani mbona hizi ni zama za soko huria inakuaje media moja imehodhi tasnia nzima ya MUZIKI na burudani kwani wengine hawapo? na kama wapo wamekingwa na nini?
 
Cluods ni watoto wa Jide komando wamuheshimu mzazi wao hao....
 
Ni uamuzi mzuri na wa busara,kwa kuwa ugomvi wao haukuwa na faida kwa yeyote baina yao,japo naona JD ni kama alilishwa matango pori au alikurupuka hadi kufikia kuwakoromea clouds wakati hao clouds ndio waliomuibua,kwa kuwa yamekwisha wafungue tu ukurasa mpya na maisha yaendelee.
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai .na mwanamke atabaki kuwa mwanamke ....na mwanaumee atabaki kuwa mwanaumee.......gadna yuleee anakujaa kujiliaa tena mtalaka wakeee kwa Mara nyinginee..big jayde


Na ndio ifahamike kuwa njaa haina baunsa
 
mwenye udambwi dambwi wa hii movie

nani alikuwa director behind the scene?
 
Back
Top Bottom