Lady Jay Dee azidi kujitenga na Gadner!

Lady Jay Dee azidi kujitenga na Gadner!

MoPlan

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
907
Reaction score
661
30/10/2014 anafungua mgahawa mpya wenye baada ya NYUMBANI LOUNGE utakaokwenda kwa jina la NEW MOG bar &restaurant na band yake itaanza rasmi kutumbuiza!!

Ujio huu mpya unathibitisha kuwa ndoa imekwisha na sasa kila mtu amechukua chake na ndio maana biashara ya Nyumbani Lounge imekufa rasmi kwani Gardner alikuwa ni mbia kwa heshima ya mme!!

Yamkini wamekubaliana kutoongelea kufa kwa ndoa hii ili kulinda biashara zao ambazo zote zinahitaji uwe ntu usiye na kashifa mbele ya jamii haswa kwa Gardner ambae ni MC kwenye maharusi na hafla pamoja na utangazaji huku mke akiwa nguli wa Mziki,vinginevyo kuzungumzia hadharani kungepelekea kuibua kashifa za ufuska etc!!!
 
Duu sio kwamba Nyumbani lounge imebadilishwa jina na kuwa MOG bar and restaurant?
 

Attachments

  • 1413210576893.jpg
    1413210576893.jpg
    62.2 KB · Views: 2,422
Nyumbani Lounge mambo ya kodi walifukuzwa na huko J dee akiendelea na nyodo zake imekula kwake
 
Safi sana dada yetu. Piga hilo limarioo chini kabisa linafuja hela tu.
 
Nyumbani Lounge mambo ya kodi walifukuzwa na huko J dee akiendelea na nyodo zake imekula kwake

MUSONI ni nani ka kwambia jide kafukuzwa?tuepuke kushuhudia tusio na uhakika nayo!
Soma hii attachment
 
Last edited by a moderator:
Safi sana dada yetu. Piga hilo limarioo chini kabisa linafuja hela tu.

Ampige wp wakati duru za kimbea zinasema Gardner kasepa na ile double Costa ya machoz band na bibie kachukua gari Yake so Gardner anatembelea double Costa mtaani..kwikwki
 
MUSONI ni nani ka kwambia jide kafukuzwa?tuepuke kushuhudia tusio na uhakika nayo!
Soma hii attachment

Mkuu attachment haisemi location ya hiyo bar lakini kwahiyo huenda jamaa yupo sahihi kuhusu ishu ya Kodi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom