MoPlan
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 907
- 661
30/10/2014 anafungua mgahawa mpya wenye baada ya NYUMBANI LOUNGE utakaokwenda kwa jina la NEW MOG bar &restaurant na band yake itaanza rasmi kutumbuiza!!
Ujio huu mpya unathibitisha kuwa ndoa imekwisha na sasa kila mtu amechukua chake na ndio maana biashara ya Nyumbani Lounge imekufa rasmi kwani Gardner alikuwa ni mbia kwa heshima ya mme!!
Yamkini wamekubaliana kutoongelea kufa kwa ndoa hii ili kulinda biashara zao ambazo zote zinahitaji uwe ntu usiye na kashifa mbele ya jamii haswa kwa Gardner ambae ni MC kwenye maharusi na hafla pamoja na utangazaji huku mke akiwa nguli wa Mziki,vinginevyo kuzungumzia hadharani kungepelekea kuibua kashifa za ufuska etc!!!