Mkuu attachment haisemi location ya hiyo bar lakini kwahiyo huenda jamaa yupo sahihi kuhusu ishu ya Kodi
Du lakin kasema formerly nyumbani lounge kwenye kipeperushi
Kwamba kodi hapa inahusikaje it means ni same place
Umesoma hiyo attachment mkuu?
Ndoa na watu maarufu hazidumu,mwenye akili hata za kukopa na afahamu hivyo.
Ndio maana yake,captaiiiiiiiiin ati nasikia ulizidisha kugida na kula nyavu mpaka za wapishi wa nyumbani lounge ati nasikia ila poa mwanaume anasifiwa kaziKga music wa ill tangos New MOG nd Nylon Lounge.
Mkuu attachment haisemi location ya hiyo bar lakini kwahiyo huenda jamaa yupo sahihi kuhusu ishu ya Kodi
Ngoja waje wanaojua watuambie maana wengine wanasema sio pake biashara imemshinda sijui!!!
Jay dee na machozi watakuwepo kama watumbuizaji siku ya ufunguzi wa baa mpya na si mmiliki, ngoja tusubiri yote heri. Kama bado yake tunamtakia mafanikio mema.
Nyumbani Lounge mambo ya kodi walifukuzwa na huko J dee akiendelea na nyodo zake imekula kwake
Mkuu leta ushahidi hayo unayo yasema hayaonekani! Jide angekuwa hamiliki tena hiyo biashara angesema si mtu wa kuogopa kitu!
Biashara haijamshinda alivhofanya ni kubadili jina la mgahawa kutoka Nyumbani Lounge to MOG... ye mwenyewe sa hivi anasema ni mwendo wa kazi
Hata kipindi cha Diary excutive director alikuwa Gardner G. Habash sa hivi yasomeka Judith Wambura.
Mwanamke hataki utani huyu..,
No longer bint machozi, na tule tupicha twa Gardner na yule dem ndio tunampa hasira zaidi

Huyu mwanamke ni jasiri sijawai ona hakika! Huwa nikisoma haya maneno yake baada ya kuandikwa kwenye gazeti la udaku najiuliza hivi wasanii wote wangekuwa kama Jide hakika ....
View attachment 193173
Biashara haijamshinda alivhofanya ni kubadili jina la mgahawa kutoka Nyumbani Lounge to MOG... ye mwenyewe sa hivi anasema ni mwendo wa kazi
Hata kipindi cha Diary excutive director alikuwa Gardner G. Habash sa hivi yasomeka Judith Wambura.
Mwanamke hataki utani huyu..,
No longer bint machozi, na tule tupicha twa Gardner na yule dem ndio tunampa hasira zaidi
Na naskia ana meneja mpya kwa sasa Wakazi.

Ni WAKAZI WASIRA ambaye n ndugu yake na ni msanii piaa mkuu
Yeah keshapata Meneja mpya....
Sa Gardner pozi la kutembelea costa jamani.. from range to costa hahaaaaa