Lady Jay Dee azidi kujitenga na Gadner!

Lady Jay Dee azidi kujitenga na Gadner!

Du lakin kasema formerly nyumbani lounge kwenye kipeperushi
Kwamba kodi hapa inahusikaje it means ni same place

Kodi inaweza kukwepa hata Kwa kubadili business premises name I.e Royal palm dar es salaam,Hyatt etc
 
Hata za makapuku huku uswazi zinavunjika kila siku. Kwa nini tunataka kuwashupalia? Kubadili jina na kufanya marekebisho ni strategy ya kuongeza mauzo. Wanajijua wenyewe ya chumbani, sie tunataka burudani tu manake na sie ya vyumbani mwetu ni utata zaidi
Ndoa na watu maarufu hazidumu,mwenye akili hata za kukopa na afahamu hivyo.
 
Kga music wa ill tangos New MOG nd Nylon Lounge.
Ndio maana yake,captaiiiiiiiiin ati nasikia ulizidisha kugida na kula nyavu mpaka za wapishi wa nyumbani lounge ati nasikia ila poa mwanaume anasifiwa kazi
 
Mkuu attachment haisemi location ya hiyo bar lakini kwahiyo huenda jamaa yupo sahihi kuhusu ishu ya Kodi

Umeona palipo andikwa formely nyumbani lounge? Unafikiri angekuwa amebadilisha location ange sahau kuandika? Mbona tangazo liko clear na kasema baada ya kupumzika kwa miezi minne...?
 
Ngoja waje wanaojua watuambie maana wengine wanasema sio pake biashara imemshinda sijui!!!

Biashara haijamshinda alivhofanya ni kubadili jina la mgahawa kutoka Nyumbani Lounge to MOG... ye mwenyewe sa hivi anasema ni mwendo wa kazi

Hata kipindi cha Diary excutive director alikuwa Gardner G. Habash sa hivi yasomeka Judith Wambura.

Mwanamke hataki utani huyu..,
No longer bint machozi, na tule tupicha twa Gardner na yule dem ndio tunampa hasira zaidi
 
Jay dee na machozi watakuwepo kama watumbuizaji siku ya ufunguzi wa baa mpya na si mmiliki, ngoja tusubiri yote heri. Kama bado yake tunamtakia mafanikio mema.

Mkuu leta ushahidi hayo unayo yasema hayaonekani! Jide angekuwa hamiliki tena hiyo biashara angesema si mtu wa kuogopa kitu!
 
m
Mkuu leta ushahidi hayo unayo yasema hayaonekani! Jide angekuwa hamiliki tena hiyo biashara angesema si mtu wa kuogopa kitu!

Mkuu sina ushahidi ni udaku tu ,yote heri amiliki au hasimiliki bado anastahili sifa kwa hatua za kusaka pesa anajitahidi.
 
Biashara haijamshinda alivhofanya ni kubadili jina la mgahawa kutoka Nyumbani Lounge to MOG... ye mwenyewe sa hivi anasema ni mwendo wa kazi

Hata kipindi cha Diary excutive director alikuwa Gardner G. Habash sa hivi yasomeka Judith Wambura.

Mwanamke hataki utani huyu..,
No longer bint machozi, na tule tupicha twa Gardner na yule dem ndio tunampa hasira zaidi

Huyu mwanamke ni jasiri sijawai ona hakika! Huwa nikisoma haya maneno yake baada ya kuandikwa kwenye gazeti la udaku najiuliza hivi wasanii wote wangekuwa kama Jide hakika ....
1413265251708.jpg
 
Attachments

  • 1413265178430.jpg
    1413265178430.jpg
    56.6 KB · Views: 386
Biashara haijamshinda alivhofanya ni kubadili jina la mgahawa kutoka Nyumbani Lounge to MOG... ye mwenyewe sa hivi anasema ni mwendo wa kazi
Hata kipindi cha Diary excutive director alikuwa Gardner G. Habash sa hivi yasomeka Judith Wambura.

Mwanamke hataki utani huyu..,
No longer bint machozi, na tule tupicha twa Gardner na yule dem ndio tunampa hasira zaidi

Basi apige kazi wateja tupo.
 
Na naskia ana meneja mpya kwa sasa Wakazi.
 
Yeah keshapata Meneja mpya....

Sa Gardner pozi la kutembelea costa jamani.. from range to costa hahaaaaa

Ndo akome mahaba niue, asingeacha kazi clouds...lakini bora kibao kimewageukia wanaume...hawa ndo mabingwa wa kuwaachisha kazi wake zao halafu wanawatosa wanabaki wamepauka...

50/50 oyeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
 
Back
Top Bottom