Yeah keshapata Meneja mpya....
Sa Gardner pozi la kutembelea costa jamani.. from range to costa hahaaaaa
Hahaha iyo ya kutembelea Costa ni uzushi tu.
Nampata Wakazi ila sidhani kama ataweza kumsimamia Jide kwa mafanikio. Gadner alikuwa mtu special sana kwenye hizi ishu.
Nampata Wakazi ila sidhani kama ataweza kumsimamia Jide kwa mafanikio. Gadner alikuwa mtu special sana kwenye hizi ishu.
Jide ni mwanamke jasiri sana...Ndo akome mahaba niue, asingeacha kazi clouds...lakini bora kibao kimewageukia wanaume...hawa ndo mabingwa wa kuwaachisha kazi wake zao halafu wanawatosa wanabaki wamepauka...
50/50 oyeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
HahahahahaHahaha iyo ya kutembelea Costa ni uzushi tu.
Hahahahaha
Hiii ya Coaster haina tofauti na ya shati kufunuka starlet
Hahaaaaa maana pozi la costa mjini.. itabidi atoe yale mapicha picha ya machozi band LOL...
kwanini unasema Wakazi hawezi kum manage JIDE??
N kweli mkuu ilaa uzalendo unaweza mshinda jide wakarudiana tu .mungu awasaidie yaishee wakae waongee km wt wazimaa
Naona watu wanaona kama Gardner ndio ataeluz peke yake. Kama kweli wametemana mazima muda ndio utaongea.
Yeah keshapata Meneja mpya....
Sa Gardner pozi la kutembelea costa jamani.. from range to costa hahaaaaa
Yan coment zote znaprove ya kuwa jide vampire level mf pimbi kaondoka na mkomboz wa mourinho,range kaiacha kwa O MAJOSTOSO,yan moyo wangu ndo unazid kuumaliza hadi hyo chenj weye baki nayo wala usinrudishie mana umentoa mbali sana tangu sidindishi siri yangu leo nashinda bukoba ah alikuwaga,
Mkuu naomba uandike tena vizuri hii comment yako!
Samahani lakini!
mi nilidhani kaandika kihaya utasaidie kutafsiri, maana katuletea lugha ya miss TZ katuacha kwenye mataa.
Hahahaaa...uwiiii...ila akinikamata najua Mwanasheria upo...au sioooo...
Kwikwikwiw Le baharia huwa ana samehe hahaha na anapiga picha na wewe
Hahahaaa bora iwe hivyo....hiyo picha ndo ya kupigia puch*.....mwendo wa ugali kwa picha ya samakiii.....!