Lady Jay Dee azidi kujitenga na Gadner!

Lady Jay Dee azidi kujitenga na Gadner!

Yeah keshapata Meneja mpya....

Sa Gardner pozi la kutembelea costa jamani.. from range to costa hahaaaaa

Hahahahaha hii ya kutembelea Coaster imenichekesha sana na hisi kuna chumvi hapa daaa
 
Nampata Wakazi ila sidhani kama ataweza kumsimamia Jide kwa mafanikio. Gadner alikuwa mtu special sana kwenye hizi ishu.

N kweli mkuu ilaa uzalendo unaweza mshinda jide wakarudiana tu .mungu awasaidie yaishee wakae waongee km wt wazimaa
 
Nampata Wakazi ila sidhani kama ataweza kumsimamia Jide kwa mafanikio. Gadner alikuwa mtu special sana kwenye hizi ishu.

Pengine ili lakuwa ndugu linaweza saidia kidogo!
 
Ndo akome mahaba niue, asingeacha kazi clouds...lakini bora kibao kimewageukia wanaume...hawa ndo mabingwa wa kuwaachisha kazi wake zao halafu wanawatosa wanabaki wamepauka...

50/50 oyeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Jide ni mwanamke jasiri sana...
Sasa hivi anafanya kazi Times Fm
 
Hahaaaaa maana pozi la costa mjini.. itabidi atoe yale mapicha picha ya machozi band LOL...

kwanini unasema Wakazi hawezi kum manage JIDE??

Wakazi ni mbabe, mjuaji na mgomvi. Tofauti na G ni mstaarabu, mtu wa kujichanganya na ana kauli nzuri. Kwa game yetu ilivyo simuoni akipafomu viile yani.
 
N kweli mkuu ilaa uzalendo unaweza mshinda jide wakarudiana tu .mungu awasaidie yaishee wakae waongee km wt wazimaa

Naona watu wanaona kama Gardner ndio ataeluz peke yake. Kama kweli wametemana mazima muda ndio utaongea.
 
Naona watu wanaona kama Gardner ndio ataeluz peke yake. Kama kweli wametemana mazima muda ndio utaongea.

Ni kweli mkuu .wanaona jamaa alikuwa anamtegemea jide sana wakati wt walikuwa wanategemeana .alafu kumbe wamekaa muda mrefu sana kwenye ndoa miaka kumi atiiiii mkuu mungu awasaidie tu warudiane tu
 
Yeah keshapata Meneja mpya....

Sa Gardner pozi la kutembelea costa jamani.. from range to costa hahaaaaa

Costa mbona pambe tu akifika pale ubungo anakula na vichwa mbezi buku bukuuuuuu mbezi bukuuuuuu yakukaaa nyeupe mbeleeee ya fasta
 
Yan coment zote znaprove ya kuwa jide vampire level mf pimbi kaondoka na mkomboz wa mourinho,range kaiacha kwa O MAJOSTOSO,yan moyo wangu ndo unazid kuumaliza hadi hyo chenj weye baki nayo wala usinrudishie mana umentoa mbali sana tangu sidindishi siri yangu leo nashinda bukoba ah alikuwaga,
 
Mkuu naomba uandike tena vizuri hii comment yako!
Samahani lakini!
 
Hahahaaa ujue mbavu zangu zishaanza kupona unazichokozaa...yani nikimkumbuka huyo naimagine clip ya skype...lol
Kim nana
Hahahaha hiyo clip sijui itakuwaje! Daa jamaa ana mchango mkubwa wa kuongeza siku zangu za kuishi
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa...uwiiii...ila akinikamata najua Mwanasheria upo...au sioooo...

Kwikwikwiw Le baharia huwa ana samehe hahaha na anapiga picha na wewe
 
Attachments

  • 1413276383209.jpg
    1413276383209.jpg
    29.9 KB · Views: 231
Hahahaaa bora iwe hivyo....hiyo picha ndo ya kupigia puch*.....mwendo wa ugali kwa picha ya samakiii.....!

Hahaha huyo ni muwakilishi Wake Lemutuz Kwenye Fiesta V.I.P aliwafanyi usaili wengi huyo ndio kafanikiwa!
 
Back
Top Bottom