hilo dongo Jide kalirusha makusudi... tunaomwelewa tumemwelewa. ingawa siwezi kuita chuki au wivu.
Jaydee alikuwa anampiga dongo Diamond hata mi nilimwelewa, angentangaze yeye kama angepokelewa maana Jide analetea mapozi hadi mashabiki , nilimuona wa ajabu alipotwaa tuzo ya KIL hakafu unauliza kama zimeshafanyika.
Naye kama anakuja kimya kimya aje kimya kimya Hovyoooo mbona wakati anapiga Mayowe kaonewa na Clouds ..tulijaa kwenda Kumsapoti Mpaka tukakosa pa kukaaa:mvutaji:! kasahau kama huruma yetu ya mayowe yake yalitufanya tujazane kuwazodoa clouds eheeee .:shetani:..akwendreeeeeeeee kule ! Diamond njoo na Matangazo tatizo liko wapi ...tena ukishuka tu tuchezee Kitondoro ......WanaWivu hao hao haooooo! Wachonganishi hao hao haoooooooo! Ohoo Mwendawazimu kaingiaje ?
halafu kama kimya kimya kilichomfanya a post fb ni nini......,
nampendaga bidada huyu ila kwahili atupishe kule,
Na kama anakuja kimyakimya si hasingesema si angekaa kimya tushtukie yupo nyumbani Lounge huyu dada ana wivu anataka awe ye juu siku zote hajui mziki kuna kupanda na kushuka wako wapi akina Maria C, Brandy ,C.Dion etc Marekani alienda kwa mgongo wa kualikwa kwenye harusi ndio akaunganishia na tuzo.
Naye kama anakuja kimya kimya aje kimya kimya Hovyoooo mbona wakati anapiga Mayowe kaonewa na Clouds ..tulijaa kwenda Kumsapoti Mpaka tukakosa pa kukaaa:mvutaji:! kasahau kama huruma yetu ya mayowe yake yalitufanya tujazane kuwazodoa clouds eheeee .:shetani:..akwendreeeeeeeee kule ! Diamond njoo na Matangazo tatizo liko wapi ...tena ukishuka tu tuchezee Kitondoro ......WanaWivu hao hao haooooo! Wachonganishi hao hao haoooooooo! Ohoo Mwendawazimu kaingiaje ?
alienda kwenye harusi ya nani??????
habari zilinifikia ni kwamba kuna party kubwa inaendelea uwanja wa amahoro pale rwanda kushangilia tuzo ya msanii tajiri kabisa afrika mashariki yaani dangote platinum na kuna watu 40,000 wamejazana huku wakicheza nyimbo za msanii huyo anayemiliki majumba kadhaa na magari ya kifahari hapa jijini
Frank??
weka maelezo kidogo
kumbe na wewe umeliona hiloTatizo ni hawa mashabiki yani wanataka watu wasiongee na wakiongea basi diamond anaonewa wivu!
Frank??
weka maelezo kidogo
acha kumchukia Jd kwani alikutuma ujazane kwenye show yake halafu kama hiyo tuzo na yeye anayo kwani cha ajabu kipo wapi.....naona team zenu za instagram mnataka kuzileta Jamii Forum:angry:
Royal wedding Frank.
Harusi ilivyotangazwa ile kwa Le mutuz nikaisubiri kwa hamuuuu lol ! picha zilionyesha ilikuwa ya kawaida watu walivaa Hovyoo ...Daaaa! kweli usipanie sana shughuli
Alialikwa harusi Marekani ya Frank na Anita ndio akaenda. Jide anaogopa kushindwa hasingetoka hapa mpk USA kufuata tuzo tu .
Hembu tuone picha za wedding yako,,kwa kauli hii tu nimekuona ni mtu mwenye chuki na si kuongelea uhalisia!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app