Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Kwakweli hii nchi ni ya ajabu sana am speechless, majibu nilishayapata kwenye Tanzania ranked among Top 10 list of poor IQ's population.
Ya wale NSHOMILE naona alienda Kuimba....
Kwakweli hii nchi ni ya ajabu sana am speechless, majibu nilishayapata kwenye Tanzania ranked among Top 10 list of poor IQ's population.
Aiseeeee
Duuuuuuu kweli Diamond platinumzhahaaaa baadhi ya mashabiki walikua wanalia kwa furaha....
kuna dinner maalum kwa ajili ya diamond jion hii mpwa kama waweza njoo pande hizi.
We koma we ...sina team yeyote naongelea ninaloona sahihi ...kama nimekuboa piga kimya kimya usiniletee za kuleta hata hiyo instagram siijui .....:sorry:
hahaaaa baadhi ya mashabiki walikua wanalia kwa furaha....
kuna dinner maalum kwa ajili ya diamond jion hii mpwa kama waweza njoo pande hizi.
Hembu tuone picha za wedding yako,,kwa kauli hii tu nimekuona ni mtu mwenye chuki na si kuongelea uhalisia!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Mpwa leo sijatoka ndani na wala sitoki kabisa na hizi mvuwa ndio kabisaa.
siku hizi najishangaa kweli sijui ndio userious wa maisha au utu uzima hata sielewi.
dalili mojawapo kuwa unazeeka (kiding)...,
Mpwa hiki kibaridi hiki kinahamisisha uwe na kumbatio pembeni yako...
naamini kubwa la maadui yuko pamoja na wewe.......
Harusi ilivyotangazwa ile kwa Le mutuz nikaisubiri kwa hamuuuu lol ! picha zilionyesha ilikuwa ya kawaida watu walivaa Hovyoo ...Daaaa! kweli usipanie sana shughuli
Ni Mtanzania wa kwanza kuombwa namba ya simu na Nelly.
Hizi ni chuki sasa za wazi kwahiyo kote alikokuwa anaenda kushiriki utangazaji wa washindi wa tuzo walikuwa wanamhakikishia ushindi siyo?
Naye kama anakuja kimya kimya aje kimya kimya Hovyoooo mbona wakati anapiga Mayowe kaonewa na Clouds ..tulijaa kwenda Kumsapoti Mpaka tukakosa pa kukaaa:mvutaji:! kasahau kama huruma yetu ya mayowe yake yalitufanya tujazane kuwazodoa clouds eheeee .:shetani:..akwendreeeeeeeee kule ! Diamond njoo na Matangazo tatizo liko wapi ...tena ukishuka tu tuchezee Kitondoro ......WanaWivu hao hao haooooo! Wachonganishi hao hao haoooooooo! Ohoo Mwendawazimu kaingiaje ?
Namkubali sana jide..tangu enzi zile za machozi bado sijamkinai. Anayetaka kupokelewa na mashabiki na apokelewe na anayekuja kimya kimya nae poa tu.
Namkubali sana jide..tangu enzi zile za machozi bado sijamkinai. Anayetaka kupokelewa na mashabiki na apokelewe na anayekuja kimya kimya nae poa tu.