Lady Jay dee baada ya kupokea tuzo, asema narudi kimya kimya

Lady Jay dee baada ya kupokea tuzo, asema narudi kimya kimya

Kwakweli hii nchi ni ya ajabu sana am speechless, majibu nilishayapata kwenye Tanzania ranked among Top 10 list of poor IQ's population.

Yeah nafikiri waliorank hawakukosea kabisa na hii ndo Tanzania yetu mdogo mdogo tutafika
 
Kwakweli hii nchi ni ya ajabu sana am speechless, majibu nilishayapata kwenye Tanzania ranked among Top 10 list of poor IQ's population.

hahaaaa baadhi ya mashabiki walikua wanalia kwa furaha....
kuna dinner maalum kwa ajili ya diamond jion hii mpwa kama waweza njoo pande hizi.
 
We koma we ...sina team yeyote naongelea ninaloona sahihi ...kama nimekuboa piga kimya kimya usiniletee za kuleta hata hiyo instagram siijui .....:sorry:

Unataka nipige kimya wewe ndio owner wa Jamii Forum nini kama unaona kila unachoongea ni sahihi tengeneza Jamii Forum yako uwe unaweka thread na kucomment mwenyewe.....wewe boya kweli
 
hahaaaa baadhi ya mashabiki walikua wanalia kwa furaha....
kuna dinner maalum kwa ajili ya diamond jion hii mpwa kama waweza njoo pande hizi.

Mpwa leo sijatoka ndani na wala sitoki kabisa na hizi mvuwa ndio kabisaa.
siku hizi najishangaa kweli sijui ndio userious wa maisha au utu uzima hata sielewi.
 
Hembu tuone picha za wedding yako,,kwa kauli hii tu nimekuona ni mtu mwenye chuki na si kuongelea uhalisia!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Mkuu kuna mijitu humu ina matatizo hatari
 
Mpwa leo sijatoka ndani na wala sitoki kabisa na hizi mvuwa ndio kabisaa.
siku hizi najishangaa kweli sijui ndio userious wa maisha au utu uzima hata sielewi.

dalili mojawapo kuwa unazeeka (kiding)...,

Mpwa hiki kibaridi hiki kinahamisisha uwe na kumbatio pembeni yako...
naamini kubwa la maadui yuko pamoja na wewe.......
 
Harusi ilivyotangazwa ile kwa Le mutuz nikaisubiri kwa hamuuuu lol ! picha zilionyesha ilikuwa ya kawaida watu walivaa Hovyoo ...Daaaa! kweli usipanie sana shughuli

Hiyo hiyo si unajua Lemutuzi anavyojua kupamba, mi mwenyewe kuona nilichoka bi harusi mmh nlichoka.
 
aisee mbon jide tuzo kawaida yake kashashinda kora wala hanaga mbwembwe toka mwanzo
na hizo tuzo mbona mnazikuza sana wakati hata kwenye tv hatujaziona....
 
Hizi ni chuki sasa za wazi kwahiyo kote alikokuwa anaenda kushiriki utangazaji wa washindi wa tuzo walikuwa wanamhakikishia ushindi siyo?

Sina chuki yoyote na Jide nami ni shabiki wake, lakini kwenye mapungufu tunaongea alikuwa anaenda zamani miaka ya hivyi karibuni kaacha.
 
Naye kama anakuja kimya kimya aje kimya kimya Hovyoooo mbona wakati anapiga Mayowe kaonewa na Clouds ..tulijaa kwenda Kumsapoti Mpaka tukakosa pa kukaaa:mvutaji:! kasahau kama huruma yetu ya mayowe yake yalitufanya tujazane kuwazodoa clouds eheeee .:shetani:..akwendreeeeeeeee kule ! Diamond njoo na Matangazo tatizo liko wapi ...tena ukishuka tu tuchezee Kitondoro ......WanaWivu hao hao haooooo! Wachonganishi hao hao haoooooooo! Ohoo Mwendawazimu kaingiaje ?

Sasa unasutana na nani hapa!?
 
angekuja kimya kimya asinge post facebook na kuanika hizo awards..!!
she is also a confused confuser..
 
Namkubali sana jide..tangu enzi zile za machozi bado sijamkinai. Anayetaka kupokelewa na mashabiki na apokelewe na anayekuja kimya kimya nae poa tu.

all is well....!!
 
Namkubali sana jide..tangu enzi zile za machozi bado sijamkinai. Anayetaka kupokelewa na mashabiki na apokelewe na anayekuja kimya kimya nae poa tu.

kula tano mine
jide wala hajampga majungu diamond mi nakataa
 
Back
Top Bottom