Hii story itapendeza sana wakihadithiwa watoto wa nursery
I am not a celebrity.....tutakuwa tumetumia vibaya JF nikirusha zangu who am I ? poleee kama nimekukwaza!
habari zilinifikia ni kwamba kuna party kubwa inaendelea uwanja wa amahoro pale rwanda kushangilia tuzo ya msanii tajiri kabisa afrika mashariki yaani dangote platinum na kuna watu 40,000 wamejazana huku wakicheza nyimbo za msanii huyo anayemiliki majumba kadhaa na magari ya kifahari hapa jijini
Unauhakika na unachokisema au umeamka usingizini
Katika post yake facebook, baada ya kutoka kupokea tuzo Lady Jaydee kawashukuru mashabiki wake, lakini cha kushangaza kasema anakuja kimyakimya.
Namquote "shhhhhhh, nakuja kimyakimya" huu ni wivu wa wazi kwa kuwa platinum katangaza kupokelewa na mashabiki wake! infact anachokifanya Platinum ni kujaribu kuwa karibu na mashabiki wake.
Musics is entertainment kama football na michezo mingine so mhusika akifanikiwa ni faragha akishangilia na mashabiki wake! hata arsenal waliposhinda fa cup walitembea mtaani London kote na mshabiki wao.
What Diamond is doing is what akina Usain Bolt hufanya wakirudi Jamaica! infact Diamond sasa ni level nyingine huwezi mlinganisha na Jaydee tena! big up Diamond.
Nawashauri wasanii wakongwe waache kumchukia diamond coz kaleta mapinduzi kwenye music! mbona Profesa Jay kaligundua hilo kafanya nae collabo na wimbo una hit kila kona.
halafu kama kimya kimya kilichomfanya a post fb ni nini......,
nampendaga bidada huyu ila kwahili atupishe kule,
Diamond kaleta mapinduzi gani kwenye industry ya muziki? naomba nitajiwe walau moja tu ......huyu dogo mnamkuza mno ........huu ni wakati wake tu kama alivyokuwa Mr Nice .....Saida Karoli .....n.k kutamba kwa msanii hakuna mahusiano na kuleta mapinduzi ......
Kwakweli hii nchi ni ya ajabu sana am speechless, majibu nilishayapata kwenye Tanzania ranked among Top 10 list of poor IQ's population.
Hao watu sioni tofauti yao na wale wanaoandamana kusukuma gari ya Dr Slaa airport mpaka ubungo...Iq zao zote zafanana zipo sawa....Tofauti ni kwamba Diamond anatumia muziki uku Slaa anatumia siasa kuwahamasisha.
Dr. Slaa anaingiaje hapa mkuu?
Sometimes unanipaga shida kukusoma mkuu! Post za mwanzo ulikuwa ambiguous....sikujua upo kulia or kushoto
Jaydee alikuwa anampiga dongo Diamond hata mi nilimwelewa, angentangaze yeye kama angepokelewa maana Jide analetea mapozi hadi mashabiki , nilimuona wa ajabu alipotwaa tuzo ya KIL hakafu unauliza kama zimeshafanyika.
uNazINGua xx kuja kimya ndo tatizo kwak.. Inaonekan unapend xn cfa! Km tuzo jide ashazokea pokea...kwan ip ambayo alikutangazi
Katika post yake facebook, baada ya kutoka kupokea tuzo Lady Jaydee kawashukuru mashabiki wake, lakini cha kushangaza kasema anakuja kimyakimya.
Namquote "shhhhhhh, nakuja kimyakimya" huu ni wivu wa wazi kwa kuwa platinum katangaza kupokelewa na mashabiki wake! infact anachokifanya Platinum ni kujaribu kuwa karibu na mashabiki wake.
Musics is entertainment kama football na michezo mingine so mhusika akifanikiwa ni faragha akishangilia na mashabiki wake! hata arsenal waliposhinda fa cup walitembea mtaani London kote na mshabiki wao.
What Diamond is doing is what akina Usain Bolt hufanya wakirudi Jamaica! infact Diamond sasa ni level nyingine huwezi mlinganisha na Jaydee tena! big up Diamond.
Nawashauri wasanii wakongwe waache kumchukia diamond coz kaleta mapinduzi kwenye music! mbona Profesa Jay kaligundua hilo kafanya nae collabo na wimbo una hit kila kona.
Mi mwenyewe ni shabiki wake, lakini anaboa ni mtu mwenye wivu na anajisikia sana, halafu hana furaha sijui kwanini.
Wewe ni mchonganishi na ni mtu wa kuogopwa! Kama unajaribu kumpambanisha Jide na diamond ni kujidanganya!