Lady Jay dee baada ya kupokea tuzo, asema narudi kimya kimya

Lady Jay dee baada ya kupokea tuzo, asema narudi kimya kimya

Hii story itapendeza sana wakihadithiwa watoto wa nursery

walikuwepo pia katika hao 40,000 waliojitokeza uwanja wa Amahoro na wengine walikuwepo katika wale 50,000 waliojitokeza jijini dar es salaam katika tukio la kihistoria la Dangote kuwa msanii wa kwanza kupata tuzo kubwa ya kimataifa
 
I am not a celebrity.....tutakuwa tumetumia vibaya JF nikirusha zangu who am I ? poleee kama nimekukwaza!

Basi sawa lakini kuna jukwaa la photo hilo halichagui uwe celebrity au superstar,,,,By the way hujanikwaza lkn!!
 
habari zilinifikia ni kwamba kuna party kubwa inaendelea uwanja wa amahoro pale rwanda kushangilia tuzo ya msanii tajiri kabisa afrika mashariki yaani dangote platinum na kuna watu 40,000 wamejazana huku wakicheza nyimbo za msanii huyo anayemiliki majumba kadhaa na magari ya kifahari hapa jijini

Unauhakika na unachokisema au umeamka usingizini
 
Nimeona watu walivyo mpokea kwenye hapa na pale Itv! Kuna vijana walikuwa wana kimbiza gari lake na alipo hojiwa amesema barabara zilifungwa kupisha msafara wake na amefurahi kwakuwa amechukua tunzo ya nje .
 
Katika post yake facebook, baada ya kutoka kupokea tuzo Lady Jaydee kawashukuru mashabiki wake, lakini cha kushangaza kasema anakuja kimyakimya.

Namquote "shhhhhhh, nakuja kimyakimya" huu ni wivu wa wazi kwa kuwa platinum katangaza kupokelewa na mashabiki wake! infact anachokifanya Platinum ni kujaribu kuwa karibu na mashabiki wake.

Musics is entertainment kama football na michezo mingine so mhusika akifanikiwa ni faragha akishangilia na mashabiki wake! hata arsenal waliposhinda fa cup walitembea mtaani London kote na mshabiki wao.

What Diamond is doing is what akina Usain Bolt hufanya wakirudi Jamaica! infact Diamond sasa ni level nyingine huwezi mlinganisha na Jaydee tena! big up Diamond.

Nawashauri wasanii wakongwe waache kumchukia diamond coz kaleta mapinduzi kwenye music! mbona Profesa Jay kaligundua hilo kafanya nae collabo na wimbo una hit kila kona.

uNazINGua xx kuja kimya ndo tatizo kwak.. Inaonekan unapend xn cfa! Km tuzo jide ashazokea pokea...kwan ip ambayo alikutangazi
 
halafu kama kimya kimya kilichomfanya a post fb ni nini......,
nampendaga bidada huyu ila kwahili atupishe kule,

Sometimes unanipaga shida kukusoma mkuu! Post za mwanzo ulikuwa ambiguous....sikujua upo kulia or kushoto
 
Diamond kaleta mapinduzi gani kwenye industry ya muziki? naomba nitajiwe walau moja tu ......huyu dogo mnamkuza mno ........huu ni wakati wake tu kama alivyokuwa Mr Nice .....Saida Karoli .....n.k kutamba kwa msanii hakuna mahusiano na kuleta mapinduzi ......

Moja tu au sio?...Kaupa thamani muziki na wanamuziki wa bongo....Wakati anaanza kutoza million 10 kwa show watu walimsema sana ila sasa kila msanii anajihamini kutaka dau analoona anastahili...Alikataa tangazo la million 50 wakarudi na million 100...Kifupi kapandisha thamani ya muziki.
Ayo sio mapinduzi?
 
Kwakweli hii nchi ni ya ajabu sana am speechless, majibu nilishayapata kwenye Tanzania ranked among Top 10 list of poor IQ's population.

Hao watu sioni tofauti yao na wale wanaoandamana kusukuma gari ya Dr Slaa airport mpaka ubungo...Iq zao zote zafanana zipo sawa....Tofauti ni kwamba Diamond anatumia muziki uku Slaa anatumia siasa kuwahamasisha.
 
Dr. Slaa anaingiaje hapa mkuu?
 
Jide....A Very Strong Character Yet The Weakiest.....
 
Jaydee alikuwa anampiga dongo Diamond hata mi nilimwelewa, angentangaze yeye kama angepokelewa maana Jide analetea mapozi hadi mashabiki , nilimuona wa ajabu alipotwaa tuzo ya KIL hakafu unauliza kama zimeshafanyika.

Cha ajabu zaidi wakati anauliza kama zimeshafanyika tuzo yake ilipokewa na dj choka huku akijinadi 'dada katutuma na sababu za kutokuwepo ni......' hawa wasanii tunajaribu kuwakubali lakini hawaishi kutuangusha kwa kuwa na nyodo, kiburi, ulimbukeni n.k
 
Mmmmh.....basi watu watakuwa hawasemi kwa kumhofia Diamond! Mbona majanga!!!!
 
uNazINGua xx kuja kimya ndo tatizo kwak.. Inaonekan unapend xn cfa! Km tuzo jide ashazokea pokea...kwan ip ambayo alikutangazi

Binadamu sie tunakosaga la kusema basi. Si ajabu angewatangazia napo wangemwambia kamuiga Diamond!!!
 
Katika post yake facebook, baada ya kutoka kupokea tuzo Lady Jaydee kawashukuru mashabiki wake, lakini cha kushangaza kasema anakuja kimyakimya.

Namquote "shhhhhhh, nakuja kimyakimya" huu ni wivu wa wazi kwa kuwa platinum katangaza kupokelewa na mashabiki wake! infact anachokifanya Platinum ni kujaribu kuwa karibu na mashabiki wake.

Musics is entertainment kama football na michezo mingine so mhusika akifanikiwa ni faragha akishangilia na mashabiki wake! hata arsenal waliposhinda fa cup walitembea mtaani London kote na mshabiki wao.

What Diamond is doing is what akina Usain Bolt hufanya wakirudi Jamaica! infact Diamond sasa ni level nyingine huwezi mlinganisha na Jaydee tena! big up Diamond.

Nawashauri wasanii wakongwe waache kumchukia diamond coz kaleta mapinduzi kwenye music! mbona Profesa Jay kaligundua hilo kafanya nae collabo na wimbo una hit kila kona.

Me nilivyoona hiyo post FB nilifikilia the same, kwamba kuna kitu hapa jide anajaribu kukifichaficha
 
Wewe ni mchonganishi na ni mtu wa kuogopwa! Kama unajaribu kumpambanisha Jide na diamond ni kujidanganya!

Nina wasiwasi na wewe. Hivi wewe siyo Wema au Aunt Ezekiel kweli? Basi kama si wewe ni member wa timu yake mnaompamba mitandaoni. Shauri lenu mwenzenu anawatumia tu, mnakacha shule kuja JF kumsifia yeye wakati yeye hana habari nanyi. Si mnamuona mwenzetu Aunt Ezekiel anavyozeeka kwa kubebeshwa mikoba kila kukicha? Ohoooo, haya!
 
Back
Top Bottom